HASSAN MWAKINYO Vs JULIUS INDONGO: Mwakinyo alivyotetea ubingwa wake wa Afrika (ABU) uzito wa Super Welter kwa kumchapa Mnamibia, Julius Indongo kwa KO. #MwakinyoVsIndongo #TonyRashidVsBonganiMahlangu #MwakinyoIndongo #TonyMahlangu #VitasaNight #Vitasa #Septemba03 #MabingwaWaUlingo @hassan_mwakinyo_jr Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tazama Pambano lote la Bondia Hassan Mwakinyo wa Tanzania dhidi ya Antonio Mayala Bondia kutokea Angola.
MWAKINYO VS PAZ: Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo ametetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welter Weight baada ya kumtwanga Jose Carlos Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne. Ndondi hizi zimepigwa kwenye ukumbi wa #NextDoorArena usiku wa Novemba 13, 2020 chini ya utayarishaji wa Jackson Group Fight na kuruka LIVE #AzamSports2HD #HassanMwakinyo #JoseCarlosPaz #VitasaNight Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz