Content removal request!


THE JUNGLE FIGHT | Pambano lote Katompa ampiga tena Dullah Mbabe – 25/11/2023

Tazama pambano lote Eric Katompa kutoka DR Congo akimshinda kwa mara nyingine bondia Mtanzania, Dullah Mbabe kwenye pambano lililofanyika jijini Arusha. Ushindi wa Katompa ni kutokana na uamuzi wa majaji wote watatu.