🔴#Live: TWAHA KIDUKU vs SEBYALA, KINACHOENDELEA KWENYE RED CARPERT NA UKUMBINI, USIKU WA MABINGWA... KARIBU Utazame matukio yote yanayoendelea kwenye pambano la 'USIKU WA MABINGWA' katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar ambapo Main Fight ni Mtanzania Twaha Kiduku akivaana na Mganda Mohamed Sebyala.
#EXCLUSIVE: SALIM MTANGO AMUOMBA MSAMAHA MWAKINYO - "HANA HELA, SIJUI HATA TUNAGOMBEA NINI" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na bondia Salim Mtango kuhusiana na maisha yake ya ngumi na ugomvi wake na Hassan Mwakinyo.
MWAKINYO KUPELEKWA MAHAKAMANI, PROMOTA AMUUMBUA kwa HASIRA - "WAMENYANG'ANYANA MWANAMKE Huko TANGA" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na Promota Karigo aliyeandaa usiku wa 'LEVELS' uliowashusha ulingoni mabondia kutoka Tanzania na wachache kutoka nje ya Tanzania.
OHO0O! DULLA MBABE AMVURUGA MWAKINYO, AFICHUA ALICHOMWAMBIA TWAHA KIDUKU BAADA ya KUPOTEZA PAMBANO.. BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na bondia Dulla Mbabe kuhusiana na pambano lake atakalocheza visiwani Zanzibar Agosti 27, 2023.
Tazama pambano lote kati ya Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku dhidi ya Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini. Wellem amemshinda Twaha Kiduku kwa pointi kwenye pambano la raundi 12.
HIGHLIGHTS | #TwahaVsKhaled Shudia Twaha Kiduku alivyopambana na Abdo Khaled, pambano la raundi kumi kuwania mikanda miwili ya UBO. #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitasaMtwara #VitasaNgumiJiwe #Boxing #ImeishaHiyo #UbabeUbabe2 #MzigoUmeshukaKilo #AbdoKhaled #TwahaKiduku
-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #var #simbasc #orlandopirates
Hivi ndivyo shughuli ya raundi nane ya kuwania mkanda wa UBO uzito wa Super Middle ilivyoenda na hatimaye Mtanzania #TwahaKiduku kuibuka mshindi kwa pointi. #VitasaNight #Vitasa #UsikuWaVitasa #TwahaKidukuVsAlexKabangu #TwahaKiduku #TwahaKiduku #MfalmeKwenyeUfalmeWake #NgumiNguruka