MWAKINYO KUPELEKWA MAHAKAMANI, PROMOTA AMUUMBUA kwa HASIRA - "WAMENYANG'ANYANA MWANAMKE Huko TANGA" BONGO Boxing Safari tumefanya mahojiano na Promota Karigo aliyeandaa usiku wa 'LEVELS' uliowashusha ulingoni mabondia kutoka Tanzania na wachache kutoka nje ya Tanzania.