AHMED ALLY: "NIMESHTAKIWA NA YANGA" | ATAJA SABABU ZA KUITWA KWENYE KAMATI YA MAADILI YA TFF |
AHMED ALLY: "NIMESHTAKIWA NA YANGA" | ATAJA SABABU ZA KUITWA KWENYE KAMATI YA MAADILI YA TFF |

#football #azamfc #soka #arsenal #footballclub #ahmedally #simba #dothingsyoudontwanttodo #theothersideofmakebelieve #helpmemakethismakesense #simbasc #yangaleo #simbaleo #live #taifastars #yanga #football #simbasc #simba #agm2024 #wenyenchi ##yanga #football #simbausajili2023na2024 #simbasc #sports #tanzaniafootball #soka #simbavsyanga #trending #taifastars #msuva #yanga #kagoma #fountaingate #football #simbausajili2023na2024 #yanga #worldcup #simbavsyanga #soccer #simbasc #taifastars #usajili #trending #ronaldo #youtubetürkiye #taifastars #yangavsvital #burundi #tplb #tff #bodiyaligi #ligikuu #allykamwe #manara #kibu #nguvumoja #ubayaubwela #manara #simbaday #yangaday #baleke #azizki #kochampya #kochawasimba #chama #mukwala #usajiliwasimba #uchebe #singidablackstars #kambole #yanga #fifa #usajili #mpanzu #azamvsyanga #yangavsazam #yanga #azamfc #yangasc #feisal #zanzibar #caf #simbavsgeitagold #dodomajijivsyanga #dodomajijifcvssimbasc #ihefuvsyanga #crdbfederationcup #nbcpl #yangabingwa #kagerasugarvssimbasc #mtibwavsyanga #simbavsazam #azamfc #simbasc #magoliyasimba #mzizimaderby #ahmedally #mzaramo #jobe #penatiyafeisal #simbavsazam #azamfc #magoliyasimba #mzizimaderby #ahmedally #mzaramo #jobe #penatiyafeisal #azamvssimba #yangavskagerasugar #simbavstabora #simba #mashujaavsyanga #kigoma #simba #namungovssimba #muunganosupercup #jkttanzania #mechi #jktvsyanga #yanga #kariakooderby #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #eidmubarak #crdbfederationcup #asfc #tff #yangasc #yangavsmamelodisundowns #azamvsyanga #azamfc #simbavsalahly #basata #sanaa #tanzania #barazalasanaatz #simba #caf #pacomeday #wananchi #allykamwe #cafcl #exclusive #morison #vituko #trynottolaugh #mayele #mayeleleo #majini #mwamposa #majiniyamayele #yanganamayele#yangatv #yanga #yangasc #mayele #fistonmayele #simbasc #alahly #simbavsalahly yangavsmamelodi #simbavsalahly #simbascvsalahly #simbaalahly #yalayaahly #alahly #mudaday #mudathir #timuyawananchi #cafclcc #caf #cafcl #yangasc #simba #yangavsmtibwa #simbascvsalahly #highlights #duniampya #kochamkuu #kocha #dullamakabila #zaylisa #trending #trendingstories #entertainment #burudani #mapinduzicup #simba #ahmedally #allykamwe #azamfc #usajili #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #live #soka #yangasc #simbasc #simba #yanga #soka #live #ahmedally #allykamwe #azamfc #chama #usajili #mayele #baleke #usajilimpya #kocha #kochampya #simba #soka #yanga #ahmedally #allykamwe #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #yangabeauty #yangampya #yangascbingwaupdates #yanga #simbanguvumoja #simbasctanzania #simbanagpal #azamsports2 #azamtv #azamsports1hd #azamfc #wasafimedia #wasafitv #simbasportsclub #simbar #simbaapp #simbasupercup #thisissimba #WenyeNchi #nguvumoja #daimambele #youtubeitalia #youtubeuse #youtubeindia #youtubelife #beautyyoutuber #youtubegamer #youtubebrasil #youtuberp #youtubetürkiye #youtubetürkiye #youtubeblogger #youtuberewind #youtubecommunity #youtubefamily #youtubeblack #jualviewyoutube #smallyoutubers #sub4subyoutube #youtuber #youtubetürkiye #yanga #simba #beautyyoutuber #indianyoutuber #jualviewyoutube #newyoutuber #nguvumoja #simbasc #simbasctanzania #tanzania #taifastars #tff #maroc #morocco #wcqualifiers #caf #soka #cafcl #kochampya #kochawasimba #robertinho #tabulele #simba #soka #yanga #live #ahmedally #chama #allykamwe #azamfc #mayele #usajili #kochampya #kochawasimba #simba #yanga #simbasc #yangasc #soka #nbcpl #kariakooderby #simba #yanga #soka #bwiganetv#bwiganetv #bwiganetv #tpa #sokaletu #bandari #simba #yanga #allykamwe #live #ahmedally #azamfc #chama #mayele #soka #usajili #bwiganetv #soka #tpa #interports #bandari #yanga #yangasc #kochawayanga #mechiyaleo #yangavsazam #magoliyote #azizki #simba #azizki #hattrick #yangavsazam #matchday #mechiyaleo #soka #sokaletu #nbcpl #simba #simbasc #yangasc #azam #azamfc #tpmazembe #esperança #esperance #tpmazembevsesperance #yanga #yangavsazam #yangasc #azamfc #afl #simba #simba #harrmonize #soka #ahmedallySimba SC #simba #afl #simbavsalahly #alahly #wataniwajadi #watani #simbanayanga #simba #yanga #simbasc #yangasc #ahmedally #allykamwe #sokaletu #afrika #afl #alahly #live #soka #simba #chama #yanga #ahmedally #afl #africanfootball ##allykamwe #azamfc #mayele #usajili #simba #live #soka #yanga #afl #afcon #drooyaafcon #ahmedally #barakampenja #upete #azamtv #live #chama #soka #simba #yanga #ahmedally #afl #allykamwe #live #soka #simba #simbasc #sokaletu #mechiyaleo #highlights #magoliyote #matchday #yanga #yangasc ##chama #ahmedally #allykamwe #bwiganetv#simba#yanga#live #tff #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl



Magoli | Azam FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League 24/02/2025
Magoli | Azam FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League 24/02/2025

MZIZIMA DERBY | Ni sare ya 2-2 kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC, uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Azam wametangulia kwa goli la Gibril Sillah dakika ya 01, kabla ya Elie Mpanzu kusawazisha dakika ya 25 na Abdulrazak Hamza kuongeza la pili dakika ya 76. Nyota wa mchezo ni ‘Super Sub’, Zidane Sereri ndiye aliyeweka mambo sawa kwa kuifungia Azam FC bao la kusawazisha dakika ya 88, kwa assist ya aina yake kutoka kwa Feisal Salum Feitoto.



Magoli yote | Mashujaa FC 0-5 Yanga SC | NBC Premier League 23/02/2025
Magoli yote | Mashujaa FC 0-5 Yanga SC | NBC Premier League 23/02/2025

Clatous Chama amefunga magoli mawili, Yanga ikiichakaza Mashujaa FC magoli 5-0 kwenye Dimba la Lake Tanganyika, Kigoma, mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara.... Chama amefunga dakika ya 74 na 83 huku mengine yakifungwa na Duke Abuya, Prince Dube na Khalid Aucho..



Namungo FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 19/02/2025
Namungo FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 19/02/2025

Zimepigwa penati tatu, Simba ikiitandika Namungo FC mabao 3-0 kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara. Jean Charles Ahoua amefunga penati mbili, huku Lionel Ateba akikosa penati moja iliyookolewa na golikipa wa Namungo, Jonathan Nahimana. Goli la tatu kwa Simba limefungwa na Steven Mukwala dakika za majeruhi... Katika mchezo huu pia, Namungo wamepata pigo baada ya beki wake Derrick Mukombozi kutolewa kwa kadi nyekundu...



Yanga SC 2-1 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 17/02/2025
Yanga SC 2-1 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 17/02/2025

Yanga SC imeendeleza ubabe kwenye ligi, kwa kumchapa Singida Black Stars mabao 2-1 kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Waliofunga magoli ya Yanga ni Clement Mzize dakika ya 14 na Prince Dube dakika ya 43 wakati Jonathan Sowah akifunga goli pekee la kufutia machozi... Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague



Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 11/02/2025
Simba SC 3-0 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 11/02/2025

Magoli matatu yote kipindi cha kwanza… Simba inaipiga Tanzania Prisons 3-0 kwenye Uwanja wa KMC, Mwenge Dar es Salaam. Wafungaji ni Jean Charles Ahoua, Elie Mpanzu na Ladack Chasambi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC 2024-25




« Previous Next »


Popular Tags

#Shaquille O'Neal  #Kawhi Leonard  #Best Ball Controls  #Paul George  #Kevin Durant  #Los Angeles Lakers  #Best Football Defending Skills  #Sergio Aguero  #Franck Ribery  #Cleveland Cavaliers  

Popular Users

#fauxpelini  #CNN  #Drake  #incarceratedbob  #PMOIndia  #WWE  #KevinHart4real  #britneyspears  #sydneyleroux  #RealSkipBayless  #OleksiakPenny  #dougferguson405  #itsBayleyWWE  #BadgerMBB