๐Ÿ›‘#LIVE:HAYA HAPA MAJEMBE MAPYA YA YANGA YAMSHUSHA FIGUREIDO,AZIZ KI,GUMEDE & WENGINE HAWA,WALIOACHWA
๐Ÿ›‘#LIVE:HAYA HAPA MAJEMBE MAPYA YA YANGA YAMSHUSHA FIGUREIDO,AZIZ KI,GUMEDE & WENGINE HAWA,WALIOACHWA

#Yangasc #Yangaleo #alikamwe #usajilimpyayanga #Enghersi Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) โšฝ Mechi: 26 ๐Ÿฅ… Magoli: 2 ๐ŸŽฏ Asisti: 5 โฑ๏ธ Dakika alizocheza: 1,858 ๐ŸŒ FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฟ Mechi: 9 โšฝ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3.Nasri Kombo Kutoka TRA United 4.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 5.Azizi Ki 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Samba Kone Kutoka Muna FC ya Ivory Coast Mlinzi wa Kushoto 8.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate . Emmanuel Flomo ๐Ÿ”นKlabu ya wananchi Yanga imefikia makubaliano binafsi (personal terms) na winga hatari wa kulia wa Liberia na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,Emmanuel Flomo (18). -Yanga wanajaribu utaratibu wa kuvunja mkataba wa mchezaji huyo katika klabu yake ya Al Hilal ya Sudan. -Flomo amefunga mabao 12 Msimu uliopita na kuibuka mchezaji chipukizi katika ligi ya Rwanda. Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy free agent 8. Farid Mussa free agent 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma 13. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 14. Bakari Mwamnyeto mchezaji huru mkataba imeisha amepunguziwa mshahara na anasubiriw asaini 15. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Djigui Diarra 2.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Yao Kouassi 3.๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Duke Abuya 4.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Maxi Nzengeli 5. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Laurindo Depu 6.๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Allan Okello 7.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Pacome Zouzoua Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi



Ally Kamwe azungumzia tetesi za Aziz Ki kurejea Yanga
Ally Kamwe azungumzia tetesi za Aziz Ki kurejea Yanga

KAMWE AKWEPA KUMZUNGUMZIA AZIZ KI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe anasema hakuna timu Afrika ambayo haipendi kuwa na mchezaji mwenye daraja la Stephane Aziz Ki, japo amekwepa kuzungumzia kwa undani tetesi zinazomhusisha kurejea mitaa ya Jangwani. Kamwe pia amesema kuna mchezaji walimpandisha thamani makusudi ili watu walipe hela nyingi. Kamwe amesema hayo leo kwenye mahojiano maalumu kupitia kipndi cha U-LIVE cha @ufmradiotz #YangaSC #Kamwe #UFM #ULIVE



MCHOME APAGAWA NA KOCHA MPYA YANGA! HUYU MANQOBA KOCHA WA UBINGWA AFRIKA | ENG HERSI HACHEKI NA KIMA
MCHOME APAGAWA NA KOCHA MPYA YANGA! HUYU MANQOBA KOCHA WA UBINGWA AFRIKA | ENG HERSI HACHEKI NA KIMA

The Official YouTube Channel Account J&R Mtita Friom Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : jrmtitatv@gmail.com Contact : +255 716 051 853



KOCHA WA ZAMANI MAMELOD APEWA MKATABA YANGA SC
KOCHA WA ZAMANI MAMELOD APEWA MKATABA YANGA SC

Kocha Manqoba Mngiqithi (55) Raia wa AFRIKA Kusini ametangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC akitokea Klabu ya Gorden Arrows ya Afrika Kusini. Mngiqithi ana uzoefu mkubwa wa mashindano ya CAF na Ligi za kiafrika kutokana kufanya kazi na Klabu ya Mamelod Sundowns kwa muda mrefu toka 2013 Hadi 2024 akiwa anashika nafasi mbalimbali.



๐Ÿ›ŽKOCHA WA YANGA AMWAGA MACHOZI PACOME KUVUNJIKA
๐Ÿ›ŽKOCHA WA YANGA AMWAGA MACHOZI PACOME KUVUNJIKA

Kiungo Mshambuliaji wa @yangasc Pacome Zouzoua Amepata Majeraha Mabaya ya Kuvunjika Mguu wake Wakati Mchezo wa Mwisho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania Kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo. Baada ya Mchezaji huyo Nyota @pacom_zouzoua Kupata Majeraha Mabaya ya Mguu wake, Mashabiki wa Soka Afrika wamejitokeza Kumpa Pole Nyota huyu Huku Wengi wakimuombea Kupona Haraka na kurejea Uwanjani kuwatumikia Wananchi. Get Well Soon Pacome Zouzoua .



Apakah tim dari Afrika akan merusak turnamen jika seperti ini jadinya? ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜
Apakah tim dari Afrika akan merusak turnamen jika seperti ini jadinya? ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜

Sempat diminta dihapus dari turnamen, tim-tim Afrika justru berikan kejutan besar di Piala Dunia! ๐Ÿ˜ฑ Meski datang dengan keterbatasan anggaran, statistik membuktikan performa mereka jauh melampaui ekspektasi, bahkan mengungguli rasio kelolosan tim dari Eropa dan Asia. Pembuktian luar biasa dari sepak bola Afrika! โšฝ๐Ÿ”ฅ Bagaimana pendapat kalian tentang performa tim Afrika kali ini? #shortsvideo #football #sepakbola #beritabola #infobola #shortsyoutube #updatebola #footballshorts




Next »


Popular Tags

#Chicago Bulls  #James Harden  #Best Goalkeeper Saves  #Goalkeeper Saves  #Kawhi Leonard  #Gareth Bale  #New York Knicks  #Russell Westbrook  #Football Defensive Skills  #Paul George  

Popular Users

#kobebryant  #cesc4official  #nfl  #ladygaga  #HEELZiggler  #RobbieSavage8  #oldhossradbourn  #ochocinco  #JohnCena  #IAmJericho  #OleksiakPenny  #ArianaGrande  #JLo  #MariaSharapova  #BellaTwins