Yanga SC 5-0 Copco FC | Magoli | CRDB Bank FA Cup - 25/01/2025
Tazama magoli yote matano ya Yanga waliyofunga kwenye mchezo wa CRDB Bank Federation Cup dhidi ya Copco FC.
Wafungaji ni Shekhan Ibrahim, Prince Dube, Maxi Nzengeli, Duke Abuya na Mudathir Yahya.