Kagera Sugar imeitandika Mwadui Fc bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Goli pekee la Kagera limefungwa na Hassan Mwaterema dakika ya 63. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ruvu Shooting imefanikiwa kupata sare ya 1-1 ikicheza ugenini dhidi ya Mwadui FC kwenye mchezo wa VPL raundi ya 10. Ruvu imefika Shinyanga Novemba 4, na kushuka dimbani siku hiyo hiyo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zimepigwa mechi tatu za Ligi kuu Tanzania Bara (VPL) na matokeo ni:- Simba 2-0 Kagera Sugar. Namungo 2-2 JKT Tanzania. Mwadui FC 1-1 Ruvu Shooting. Fuatilia uchambuzi baada ya mechi hizi, ukiwa na Ahmed Ally, Ally Kamwe, Dominick Salamba. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Fuatilia matangazo ya #LigiKuuTanzaniaBara #VPL ambapo michezo ya leo ni kati ya Simba SC ikiwakaribisha Kagera Sugar, Namungo wakiwa nyumbani wanavaana na JKT Tanzania na Mwadui wanapambana na Ruvu Shooting kuzisaka alama tatu muhimu. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
YANGA Kulikoni, KILA Mechi GOLI 1, Hii SIMBA Ilikutana na MWADUI GANI? | ROUND UP KARIBU katika kipindi cha 'ROUND UP' ambapo leo wachambuzi wa soka wamechambua mechi kadhaa za ligi kuu zilizopita ikiwemo ya Simba vs Mwadui na Biashara UTD vs Yanga... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
"SIMBA ni MABINGWA, CHAMA Ana UMUHIMU Wake, TULIAMUA Leo Lazima TUSHINDE" - ASHA BARAKA DAKIKA 90 za mtanange wa ligi kuu kati ya SIMBA vs MWADUI FC zimemalizika kwa Mnyama kumaliza hasira zake kwa kuwachapa wachimba madini hao (5-0).... Mtanange huo umechezwa katika dimba la Uhuru jijini Dar, leo Oktoba 31, ambapo mabao ya Simba yamewekwa kimiani mawili na nahodha, John Bocco, mengine wamefunga Hassan Dilunga, Said Ndemla na Ibrahim Ajib... Baada ya matokeo hayo mashabiki wa Simba wameonekana kufurahi mno, kutokana na kwamba mechi mbili mfululizo zilizopita Simba wamekuwa wakipoteza hivyo kipigo walichokitoa kwa Mwadui ni kama kimewafuta machozi mashabiki wao... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline