Mtibwa Sugar wameitandika KMC bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli pekee la Mtibwa limefungwa na Salum Kihimbwa dakika ya 20. Huu ni uchambuzi baada ya mechi hiyo. Usikose kutazama taarifa ya habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz