Content removal request!


Magoli saba | Mwadui FC 3-4 Gwambina FC - VPL 25/11/2020

Mwadui Fc imechezea kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa Gwambina FC kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga. Magoli ya Gwambina yamefungwa na Jimson Stephen, Meshack Abraham na Jacob Masawe ambaye amefunga mawili wakati magoli ya Mwadui yakifungwa Herman Masenga, Salum Chubi na Ismail Ally. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz