SHABIKI YANGA APIGA SIMU CHINA, AMTETEA METACHA BAADA YA KUWAFUNGA MWADUI
SHABIKI YANGA APIGA SIMU CHINA, AMTETEA METACHA BAADA YA KUWAFUNGA MWADUI

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Mwadui FC yamefungwa na Aniceth Revocatus yote dakika ya saba na 42, wakati ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto dakika ya 22, Yacouba Sogne dakika ya 90 na Waziri Junior dakika ya 90 na ushei. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



Alichokisema Kipa MWADUI FC | "Nilitaka wasifunge" | Usajili wake Yanga
Alichokisema Kipa MWADUI FC | "Nilitaka wasifunge" | Usajili wake Yanga

Golikipa wa Mwadui FC akizungumza baada ya Mchezo wao dhidi ya Yanga SC, amesema katika mchezo wa leo alipanaga yanga wasipate goli lakini haikuwa bahati.



Highlights Yanga vs Mwadui || Magoli Yote || Ligi Kuu Tanzania Bara
Highlights Yanga vs Mwadui || Magoli Yote || Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga vs Mwadui Leo Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa. Kwetu Sport inakuletea Magoli yote katika Mechi Ya Yanga vs Mwadui leo.



Magoli: Yanga walivyopindua matokeo na kuipiga Mwadui 3-2 kwa Mkapa - VPL 20/06/2021
Magoli: Yanga walivyopindua matokeo na kuipiga Mwadui 3-2 kwa Mkapa - VPL 20/06/2021

YANGA 3-2 MWADUI: Yanga SC wamezitumia dakika nne za nyongeza kupata magoli mawili muhimu yaliyowapa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto, Yacouba Songne na Wazir Junior wakati magoli yote mawili ya Mwadui yakifungwa na Aniceth Revocatus. Katika hatua nyingine, Fiston Abdoulrazack wa Yanga amekosa penati kwenye mchezo huu, iliyopanguliwa na golikipa Mussa Mbisa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



#LIVE:MATOKEO VPL/YANGA NA COME BACK YAKIBABE DHIDI YA MWADUI FC/BISHARA NA USHINDI WA BAO MOJA
#LIVE:MATOKEO VPL/YANGA NA COME BACK YAKIBABE DHIDI YA MWADUI FC/BISHARA NA USHINDI WA BAO MOJA

MATOKEO VPL/YANGA NA COME BACK YAKIBABE DHIDI YA MWADUI FC/BISHARA NA USHINDI WA BAO MOJA



HUYU HAPA ANTONIO NUGAZ BAADA YA COME BACK YA YANGA LEO
HUYU HAPA ANTONIO NUGAZ BAADA YA COME BACK YA YANGA LEO

Yanga SC Leo ilicheza dhidi ya Mwadui FC katika uwanja wa Benjamin Mkapa, mchezo ulimalizika kwa Yanga kupata ushindi wa magoli 3-2, baada ya mchezo huo kumalizika tulipata nafasi ya kuongea na wana-yanga.



#TBCLIVE: YANGA SC (3) vs (2) MWADUI FC (UWANJA WA BENJAMIN MKAPA)
#TBCLIVE: YANGA SC (3) vs (2) MWADUI FC (UWANJA WA BENJAMIN MKAPA)

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Mesut Ozil  #Kevin Durant  #Neymar  #Luis Suarez  #Paul George  #Stephen Curry  #Chris Paul  #Paul George  #Kobe Bryant  

Popular Users

#narendramodi  #baseballpro  #YouTube  #MariaSharapova  #rioferdy5  #BeingSalmanKhan  #TheRock  #realmadrid  #instagram  #RobbieSavage8  #hunterpence  #oldhossradbourn  #josecanseco  #Ky1eLong