Usajili:Yanga Sc Wafanya balaa Wamalizana na Mshambuliaji kutoka Wydad Casablanca Francis KAZADI,,, Usajili:Huku Makambo kule Kazadi Mayele naye ndani, Yanga ya Mabao yarejea,,, Breaking:Yanga watoa tamko zito Wamkataa Mwamuzi wa Fainali ya (ASFC) "HATUMTAKI" Yupo Simba! UTATA Ugomvi wa Manara na Barbara CEO wa Simba waibua balaa Yanga Watoa Tamko zito,Wachapana za Uso,Siri h Mshambuliaji wakimataifa Yanga Mghana Michael Sarpong Azua gumzo Yanga Agoma, Atoa tamko,Havunji Mka Hawa wanakuja Yanga,Makambo, Mayele waaga kwao Mayele atamba kuchukua namba ya mtu Yanga,,,, Ratiba ya klabu bingwa Afrika Rasmi Yanga Sc na Simba Sc zapangiwa kucheza na Timu hizi kubwa Afrika Kocha Wa Yanga atangaza majina ya wachezaji sita (6)walio sajiliwa dirisha kubwa la usajili ni balaa Alichokisema Saidi Ntibazonkiza Afunguka mazito kuhusu kusajiliwa Simba Atoa tamko zito Yanga Usajili:Yanga Sc Washusha Mitambo ya Mabao Heritier Makambo kutoka Horoya Ac na Jean Marck Makusu,, Kimenuka CAS watoa tamko zito kuhusu kesi ya Bernard Morrison na Yanga Sc Hukumu nzito yatolewa TFF Rasmi yatangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili leo Tar 19/07/2021,yatoa Tamko zito Yanga hii ni hatarii, yawapiga bao Kali Simba yamchukua mchezaji Kipenzi wa Gomes, Wamaliza na wanne Baada ya Kusaini Miaka Miwili,Straika Mpya Yanga Aiwahi Simba kigoma, Atumiwa tiketi Kutua bongo,,, Shirikisho la Mpira Duniani FIFA latoa Tamko zito Simba baada ya kushinda kombe la Ligi Kuu Tanzania Tamko Zito! Simba wamebebwa sana na Refa, Azam wamenyimwa Penalty Yawazi,tazama tukio Hili Makini,,, Azam vs Simba 1-1 |Magoli Yote Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania FT:Highlights Goli la Nado 43' Min Azam vs Simba 1-0 | Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Highlights (VPL) Azam Fc Vs Simba Sc 1-0 |Goli la Idd Nado Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Highlights 🔴LIVE:AZAM FC VS SIMBA SC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA LEO (VPL) 🔴LIVE:AZAM FC VS SIMBA SC NUSU FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC) Baada ya kutoka Kifungoni Kiongozi Yanga Mwakalebela atoa Tamko Zito Kwa TFF "MAPAMBANO YANAENDELEA" Baada ya Kumsajili DJuma,Yanga SC Yafuata Straika Jumba AS Vita, As Vita Wafunguka,,,, Yanga Yateketeza Billion 1.1 Kwa Nyota Saba, Wakimataifa Watatu kutoka Congo,,, Kocha Mkuu wa Yanga Nassredine Atangaza Kikosi Msimu Mpya 2021/2022 na Wachezaji walio sajiliwa... Engineer Heris afunguka Manji kamwaga Mkwanja Yanga,Kumenoga Jangwani, Mkutano mkuu Mabilion Yatolew Manji Rasmi alipia kadi yake Yanga, Mambo yaiva,kuibuka Mkutanoni J'pili Bil 1.5 za usajili,Kumenoga Yanga Yamsajili Kipa Bora CAF kumrithi Metacha Mnata, Takwimu Zake ni balaa, kutoka South Africa KIPYENGA CHA MWISHO:Osman Kazi alivyo toa Utata goli la Yanga vs Mwadui na ufafanuzi wa Kiufundi Utata goli LA Tatu la Yanga dhidi ya Mwadui, Manara afichua hii "OFFSIDE YA WAZI" UTO Wanabebwa ona! Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa Jana June 20,2021 Msimamo Wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania baada ya Mechi Zilizochezwa June 17,2021 Yanga vs Ruvu shooting 3-2 |Magoli yote Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights FT: Yanga vs Ruvu shooting 3-2 |Magoli yote Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights Ruvu shooting vs yanga 0-2 |Magoli Yote, Feisali Toto' Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Highlights LIVE:RUVU SHOOTING VS YANGA SC LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA LEO (VPL) Kikosi cha kwanza cha Yanga sc dhidi ya Ruvu shooting leo Ligu kuu ya Vodacom Tanzania nibalaa,,,, Jembe jipya Yanga hili hapa, Nichaguo la kocha Nabi, Yupo katika kikosi cha Tunisia,,, Kocha Mkuu Nasreddine Amshusha Straika Mwarabu Yanga, Awataja wengine wawili, Wapachikaji wa Mabao,, MUKOKO Tonombe Afichua Siri Yanga, Afunguka Kutua Simba msimu ujao,huduma anayo pewa,,, Yanga yaipora TP Mazembe Kiungo, Fundi wa Mpira anafunga na Kuasist, MERCEY VUMBI NGIMBI ni hatari,, Yanga sc Watua kwa Mkata umeme wa Kaizer Chiefs Anthony Akum Akum, uwezo wake ni balaa,,, Injinia Herse Wa GSM kutua Misri, Sudan na Ethiopia kusaka Wachezaji hatari,atua kwa Mshambuliaji hu Balaza la Wazee Yanga latoa Tamko Zito "Yanga haichezi tena na Simba VPL" Msola hafai,TFF tuta walip #YangaSc #VPL #SimbaSc #Tetesi #Ubaguzi #Nidhamu #VPL #SimbaSc #YangaSc #Usajiri #TPmazembe #JacksonMuleka #VPL #EPL #Samatta #DiamondPlatnumz #ZariTheBossLady #PeterPsquar #Tiffah #WizKidAyo #MohamedRamadan #Davido #Zari #Tiffah #TANASHA #PeterPsquare #NASEEBJUNIOR #Harmonize #AfroEast #KondeBoy #KondeGang #JosephKusaga #Alikiba sMedia #EBITOKE #WEMASEPETU #MISSTANZANIA2020 #MISSTANZANIA #DiamondPlatnumz #Wizkid #Jeje #DogoJanja #FALZ #WCB #WASAFITV #WASAFIMEDIA #ZOOMEXTRA #Ebitoke #YusuphMlela #NdoaYaEbitoke #Bongo1Media #MadangaBuza #TripleComedy #Bongo1Media #JotiTv #Masanja #Mpoki #BrotherK #Futuhi #MkaliWenuOrginal #TimamuComedy #TimamuMovie #ChaliiYaR #OkaMartini #Carpoza #wasafiMedia #WasafiTv #Comedy #MackAngelComedy #NegeriaComedy #CharlesChaplin #Rayvanny #EATV #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnock #BingoonlineTv #Salam
Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Magoli ya Abdul Suleiman Sopu, Issa Abushehe, Raizin Hafidh na Mudathir Said yameipa Coastal Union ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mwadui FC , katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Matokeo haya yamefufua matumaini kwa Coastal Union kusalia ligi kuu baada ya kufikisha pointi 37 katika nafasi ya 14. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
“Ari nayo ndugu zangu waandishi inatengenezwa” majibu ya kocha msaidizi wa Coastal Union, Joseph Lazaro alipoulizwa kuhusu kushuka kwa ari ya wachezaji wa timu yake Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
ZIKIWA zimebeki siku tatu kwa watani wa jadi, Simba na Yanga kukutana Uwanja wa Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa makocha wawili Didier Gomes wa Simba na Nassredine Nabi wa Yanga walikuwa na kazi ya kukimbizana ndani ya dk 450. Kwenye mechi zao tano za hivi karibuni kwenye ligi Gomes alionekana kumkimbiza Nabi kwa kusepa na pointi nyingi ambazo ni 15 huku Nabi akisepa na pointi zake 10. Ni Gomes raia wa Ufaransa alishinda mechi zake 5 alizokaa kwenye benchi na alishuhudia jumla ya mabao 14 wachezaji wake wakifunga na mabao matatu waliokota kwenye nyavu zao. Ndani ya dakika 450 msako wa pointi 15 Simba ilisepa na pointi zote mazima ambapo ugenini ilikuwa kwenye mechi tatu na nyumbani ilikuwa kwenye mechi mbili. Mwendo wa Gomes ulikuwa namna hii:-Aprili 27, Simba 3-1 Dodoma Jiji,Uwanja wa Mkapa, Mei 29, Namungo 1-3 Simba,Uwanja wa Majaliwa, Juni 3, Ruvu Shooting 0-3 Simba, uwanja wa CCM Kirumba, Juni 19, Polisi Tanzania 0-1 Simba, Uwanja wa CCM Kirumba, Juni 22, Simba 4-1 Mbeya City, Uwanja wa Mkapa. Kwa upande wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi katika mechi tano ambazo ni dk 450, Yanga ilipoteza mchezo mmoja, sare moja na ushindi katika mechi tatu. Ilikuwa msako wa pointi 15, Nabi alisepa na pointi 10 na kuyeyusha pointi tano mazima huku wachezaji wake wakifunga jumla ya mabao 8 na kufungwa mabao matano. Mwendo wake ulikuwa namna hii:-Aprili 25, Yanga 0-1 Azam FC, Uwanja wa Mkapa, Mei 15, Namungo 0-0 Yanga, Uwanja wa Majaliwa, Mei 19, JKT Tanzania 0-2 Yanga, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Juni 17, Ruvu Shooting 2-3 Yanga, Uwanja wa Mkapa, Juni 20, Yanga 3-2 Mwadui FC.
Makambo ni kama amechoka maisha ya Guinea akiwa na klabu ya AC Horoya iliyomnunua miaka mitatu iliyopita akitokea Yanga na sasa yuko tayari kurejea tena Jangwani kuendelea kuwajaza kama alivyofanya wakati akikiwasha chini ya kocha Mwinyi Zahera. Young Africans itasajili mastraika wawili wazuri ukiwa ndio mpango namba moja wa mabosi wa timu hiyo iliyo chini ya Kocha Nasreddin Nabi, na jina la Makambo linaonekana kuzidi kung’aa katika msako wa mabosi hao wa klabu hiyo ambayo usiku wa jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Mwadui katika mechi ya Ligi Kuu. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #yangasc #makambo #usajiliyangasc
YANGA vs MWADUI: Yanga SC wamezitumia dakika nne za nyongeza kupata magoli mawili muhimu yaliyowapa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto, Yacouba Songne na Wazir Junior wakati magoli yote mawili ya Mwadui yakifungwa na Aniceth Revocatus. Katika hatua nyingine, Fiston Abdoulrazack wa Yanga amekosa penati kwenye mchezo huu, iliyopanguliwa na golikipa Mussa Mbisa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz