HUYU HAPA ANTONIO NUGAZ BAADA YA COME BACK YA YANGA LEO
Yanga SC Leo ilicheza dhidi ya Mwadui FC katika uwanja wa Benjamin Mkapa, mchezo ulimalizika kwa Yanga kupata ushindi wa magoli 3-2, baada ya mchezo huo kumalizika tulipata nafasi ya kuongea na wana-yanga.