Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Mwadui FC yamefungwa na Aniceth Revocatus yote dakika ya saba na 42, wakati ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto dakika ya 22, Yacouba Sogne dakika ya 90 na Waziri Junior dakika ya 90 na ushei. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars