Tazama magoli ya Kagera Sugar ikiicharaza Mwadui FC 3-0 VPL 11/05/2021
Tazama magoli ya Kagera Sugar ikiicharaza Mwadui FC 3-0 VPL 11/05/2021

MWADUI FC VS KAGERA SUGAR: Magoli ya David Luhende, Yusuph Mhilu na na Erick Mwijage yameipa Kagera Sugar ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa kwenye Uwanja wa Mwadui Complex. Haya hapa magoli yote Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Gwambina FC 1-2 MwaduiFC | Highlights | VPL 27/04/2021
Gwambina FC 1-2 MwaduiFC | Highlights | VPL 27/04/2021

GWAMBINA vs MWADUI: Timu ya Mwadui FC ambayo iko mikiani, imeilaza Gwambina FC mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Gwambina Complex, Misungwi Mwanza. Gwambina ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Meshack Abraham kabla ya Mwadui kusawazisha kwa goli la Roshwa Rashid na kuongeza la pili lililofungwa na Mohamed Kassim. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli: Mwadui walivyotoka nyuma na kuwachapa Gwambina 2-1 nyumbani kwao - VPL 27/04/2021
Magoli: Mwadui walivyotoka nyuma na kuwachapa Gwambina 2-1 nyumbani kwao - VPL 27/04/2021

GWAMBINA 1-2 MWADUI: Timu ya Mwadui FC ambayo iko mikiani, imeilaza Gwambina FC mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Gwambina Complex, Misungwi Mwanza. Gwambina ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Meshack Abraham kabla ya Mwadui kusawazisha kwa goli la Roshwa Rashid na kuongeza la pili lililofungwa na Mohamed Kassim. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE: GWAMBINA VS MWADUI, UCHAMBUZI -   VPL  27/04/2021
LIVE: GWAMBINA VS MWADUI, UCHAMBUZI - VPL 27/04/2021

Tazama uchambuzi kuelekea mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Gwambina FC dhidi ya Mwadui FC. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Ruvu Shooting 5-1 Mwadui FC | Highlights | VPL 21/04/2021
Ruvu Shooting 5-1 Mwadui FC | Highlights | VPL 21/04/2021

RUVU VS MWADUI: Maafande wa Ruvu Shooting wameibutua Mwadui FC kipigo cha 5-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani. Magoli kwenye mchezo huu yamefungwa na Edward Charles Manyama, David Richard, Shaban Msalla aliyefunga mawili na Abrahmana Mussa wakati goli la Mwadui likifungwa na Mohamed Hashim. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli yote Ruvu Shooting walivyoisambaratisha Mwadui 5-1 - (VPL  21/04/2021)

LIVE | KAGERA VS SIMBA, RUVU VS MWADUI, POLISI VS MBEYA CITY - UCHAMBUZI 21/04/2021
LIVE | KAGERA VS SIMBA, RUVU VS MWADUI, POLISI VS MBEYA CITY - UCHAMBUZI 21/04/2021

Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi tatu za leo za Ligi Kuu Tanzania Bara. Kagera Sugar Vs Simba, Ruvu Shooting Vs Mwadui na Polisi Tanzania Vs Mbeya City. Fuatilia taarifa ya habari ya Adhuhuri Live, pia iko LIVE #UTV na #AzamTvMax Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Amazing Solo Goals  #Paul George  #Counter Attack Goals Football  #New York Knicks  #Shot Goals  #Best Football Defending Skills  #Best Goals Ever  #David Silva  #Zlatan Ibrahimovi  #Cleveland Cavaliers  

Popular Users

#strombone1  #OleksiakPenny  #fauxpelini  #HEELZiggler  #JoelEmbiid  #MariaSharapova  #rogerfederer  #LilTunechi  #elonmusk  #PMOIndia  #RealSkipBayless  #alexmorgan13  #itsBayleyWWE