TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA"
TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA"

TAMBO za MASHABIKI wa YANGA Baada ya KUIFUNGA MWADUI FC - "TUMESAJILI KIMATAIFA" KLABU ya Yanga imeibuka na ushindi wa bao (1-0) dhidi ya Mwadui FC kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na mshambuliaji wao namba moja, Michael Sarpong, dakika ya 81 na kuwainua mashabiki wa timu ya Yanga inayonolewa na Kaimu Kocha, Juma Mwambusi. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Mwambusi kusisimama akiwa kwenye benchi baada ya Zlatko Krmpotic, kufutwa kazi Oktoba 3 baada ya kumaliza mchezo wake wa mwisho dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkapa. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Goli ya Michael Sarpong | Yanga 1-0 Mwadui - Mechi ya Kirafiki 09/10/2020
Goli ya Michael Sarpong | Yanga 1-0 Mwadui - Mechi ya Kirafiki 09/10/2020

Assist ya Carlos Carlinhos imeipa Yanga bao pekee kupitia kwa Michael Sarpong katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui FC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Tazama ilivyokuwa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE:  NAMUNGO 0-1 MWADUI, MBEYA CITY 0-0 PRISONS - UCHAMBUZI BAADA YA MECHI
LIVE: NAMUNGO 0-1 MWADUI, MBEYA CITY 0-0 PRISONS - UCHAMBUZI BAADA YA MECHI

Mechi za VPL raundi ya tano zinaendelea leo kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti. Huu ni uchambuzi wa game ya Namungo Vs Mwadui na mechi zingine. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE: YANGA VS MBEYA CITY; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 13/09/2020
LIVE: YANGA VS MBEYA CITY; UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 13/09/2020

Mechi za leo ni; Ihefu vs Ruvu Shooting Biashara vs Mwadui Yanga vs Mbeya City LIVE #AzamSportsHD #AzamSports2 & 107.3 UFM Dar es Salaam. #VodacomPremierLeague #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE: UCHAMBUZI KABLA YA MECHI ZA RAUNDI YA PILI; YANGA, IHEFU, MBEYA CITY DIMBANI - VPL 13/09/2020

KIPYENGA CHA MWISHO 23/07/2020:  Maamuzi tata Simba vs Alliance,  Yanga vs Mwadui, Lipuli vs Azam
KIPYENGA CHA MWISHO 23/07/2020: Maamuzi tata Simba vs Alliance, Yanga vs Mwadui, Lipuli vs Azam

Osman Kazi ametupia jicho mapungufu ya uamuzi katika mechi kadhaa za VPL akianza na ile ya Simba vs Alliance (5-1) ambayo kuna matukio mengi ya utata ikiwemo tukio la Medie Kagere kuvua jezi na kuoneshwa kadi ya njano pamoja na utata kwenye goli moja la Simba. Mechi nyingine ni Yanga vs Mwadui (1-1), Lipuli vs Azam (1-1). Utata wa offside ya magoli ya uongo ni miongoni mwa mambo yaliyobainika. Zipo mechi nyingine pia zenye matukio ya utata. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

LIVE: MTIBWA (1-1) YANGA, UFM 107.3 DAR ES SALAAM - 22/07/2020
LIVE: MTIBWA (1-1) YANGA, UFM 107.3 DAR ES SALAAM - 22/07/2020

Leo zinapigwa mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), kubwa ikiwa ni Mtibwa Sugar vs Yanga SC kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally yuko studio na wachambuzi James Samwel na Ally Kamwe kwa ajili ya uchambuzi kuelekea mechi hizo. Mechi nyingine ni Mbao vs Namungo, KMC vs Prisons, Mwadui vs Biashara, na Singida vs Kagera. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Yanga 1-1 Mwadui: Uchambuzi na ripoti za VPL kutoka viwanja mbalimbali
Yanga 1-1 Mwadui: Uchambuzi na ripoti za VPL kutoka viwanja mbalimbali

Miongoni mwa ripoti zilizomo ni ya mchezo kati ya Biashara United vs Coastal Union, Ndanda vs Mbeya City, Kagera Sugar vs Polisi Tanzania pamoja na maandalizi ya mchezo kati ya JKT Tanzania vs Mbao FC. Ahmed Ally yuko na Ally Kamwe na Dominick Salamba. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Kawhi Leonard  #Derrick Rose  #Best Champions League  #Best Football Defending Skills  #Cleveland Cavaliers  #Paul George  #Shaquille O'Neal  #Counter Attack Goals Football  #Miami Heat  #Boston Celtics  

Popular Users

#oldhossradbourn  #TheRealJRSmith  #CNN  #WWE  #kevinlove  #KingJames  #YouTube  #DeAndre  #baseballpro  #Cristiano  #JoelEmbiid  #nyt4thdownbot  #ladygaga  #MikePereira  #espn