Leo zinapigwa mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), kubwa ikiwa ni Mtibwa Sugar vs Yanga SC kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally yuko studio na wachambuzi James Samwel na Ally Kamwe kwa ajili ya uchambuzi kuelekea mechi hizo. Mechi nyingine ni Mbao vs Namungo, KMC vs Prisons, Mwadui vs Biashara, na Singida vs Kagera. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz