Content removal request!


KIPYENGA CHA MWISHO 23/07/2020: Maamuzi tata Simba vs Alliance, Yanga vs Mwadui, Lipuli vs Azam

Osman Kazi ametupia jicho mapungufu ya uamuzi katika mechi kadhaa za VPL akianza na ile ya Simba vs Alliance (5-1) ambayo kuna matukio mengi ya utata ikiwemo tukio la Medie Kagere kuvua jezi na kuoneshwa kadi ya njano pamoja na utata kwenye goli moja la Simba. Mechi nyingine ni Yanga vs Mwadui (1-1), Lipuli vs Azam (1-1). Utata wa offside ya magoli ya uongo ni miongoni mwa mambo yaliyobainika. Zipo mechi nyingine pia zenye matukio ya utata. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz