Goli la John Bocco lililowatanguliza Simba. 53’: Simba 1-0 Mwadui. LIVE #AzamSports2HD #LigiKuuTanzaniaBara #VPLUpdates #VPL #VodacomPremierLeague #SimbaSC #MwaduiFC #
JKT Tanzania wakiwa ugenini wamefanikiwa kuwa klabu ya kwanza VPL msimu wa 2020/2021 kushinda ushindi mkubwa wa mgoli mengi ugenini huku mchezaji wake Adam Adam akifanikiwa kufunga Hat-Trick ya kwanza ya #LigiKuuTanzaniaBara Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Chuma cha sita kimewekwa kambani na Said Luyaya dakika za majeruhi. FT: Mwadui 1-6 JKT TZ. #MwanaSport #LigiKuuTanzaniaBara #shorts
JKT Tanzania ikiwa na njaa ya mabao, imeshusha mkong'oto mzito kwa wenyeji wao Mwadui FC baada ya kuibebesha mzigo wa mabao 1-6, huku Adam Adam akipiga hat trick ya kwanza VPL msimu huu wa 2020/2021. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Uchambuzi kuelekea mechi tatu za VPL zikichezwa katika viwanja mbalimbali ikiwemo KMC wakivaana na Yanga SC. HABARI WIKIENDI: Ni wakati wa kupata taarifa kutoka kila pembe ya Dunia katika nusu saa ya Habari Wikiendi usiku huu, kubwa likiwa ni Rais Magufuli akabidhi nyumba kwa mstaafu Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili na harakati za kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 28. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ni mechi ambayo Mbeya City walipata bao lao la kwanza msimu huu lililofungwa na Richardson Ngondya licha ya kupoteza mchezo kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mwadui FC, kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Magoli ya Mwadui yalifungwa na Ismail Ally na Eric Nkosi. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zimepigwa mechi nne na matokeo ni; Ihefu 0-2 Azam, Ruvu 1-1 KMC, Mwadui 2-1 Mbeya City. Kagera Sugar 0-0 Dodoma Jiji. Fuatilia uchambuzi baada ya mechezo hii, studio ukiwa na Ally kamwe pamoja na Rashid Seif. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz