Content removal request!


LIVE: BUILD UP; POLISI TANZANIA VS BIASHARA UNTED, KMC VS YANGA, MWADUI VS JKT TZ - 25/10/2020

Uchambuzi kuelekea mechi tatu za VPL zikichezwa katika viwanja mbalimbali ikiwemo KMC wakivaana na Yanga SC. HABARI WIKIENDI: Ni wakati wa kupata taarifa kutoka kila pembe ya Dunia katika nusu saa ya Habari Wikiendi usiku huu, kubwa likiwa ni Rais Magufuli akabidhi nyumba kwa mstaafu Ali Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili na harakati za kampeni kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 28. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz