Ni mechi ambayo Mbeya City walipata bao lao la kwanza msimu huu lililofungwa na Richardson Ngondya licha ya kupoteza mchezo kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Mwadui FC, kwenye Uwanja wa Mwadui Complex, Shinyanga. Magoli ya Mwadui yalifungwa na Ismail Ally na Eric Nkosi. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz