Ni kama kidonda kimetoneshwa baada ya Simba kuirarua Mwadui FC kwa bao 5-0. Vijana hao kutoka Shinyanga wametoka kufungwa na JKT Tanzania kwa jumla ya mabao 0-6, kabla ya kuvaana na mnyama. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
UCHAMBUZI WA MAGOLI 5 YA SIMBA SC DHIDI YA MWADUI,MCHEZO UJAO DHIDI YA KAGERA SUGAR.
#CitizensTVLive #Simba #Mwadui #SimbaVsMwadui Live🔴:Simba vs Mwadui 5-0 |Tanzania Premier League | Streaming Live| FULL Highlights & MAGOLI Yote
#CitizensTVLive #Simba #Mwadui #SimbaVsMwadui Live🔴:Simba vs Mwadui 5-0 |Tanzania Premier League | Uchambuzi wa Off-Side mbili za Luis Miquissone
OFF-SIDE…!!! Luis Miquissone naye alitikisa nyavu mara mbili, lakini ikawa ni off-side. Hebu zitazame, kisha toa maoni yako. FT: Simba 5-0 Mwadui. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ikiwa na hasira ya kupoteza mechi mbili mfululizo, mnyama Simba ameifurusha Mwadui FC kwa jumla mabao 5-0 dimbani Uhuru kwenye mchezo wa VPL raundi tisa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zimepigwa mechi nneza raundi ya tisa... na matokeo ni haya: FT: Biashara 0-1 Yanga. FT: Simba 5-0 Mwadui. FT: Namungo 1-0 Dodoma Jiji. FT: Prisons 0-1 Polisi. Fuatilia uchambuzi baada ya matokeo haya ukiwa na Ahmed Ally, Ally Mayay na Dominick Salamba. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020 kupitia UTV. Ni ndani ya saa 90 za kuangazia zoezi zima la upigaji kura, uhesabuji wa kura na kutangazwa kwa matokeo. Ni UTV pekee utakapopata taarifa za kina na uchambuzi wa siasa za Tanzania hususani uchaguzi wa Rais, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz