Content removal request!


Magoli yote | JKT Tanzania (1-6) ikishusha gharika la mabao kwa Mwadui - VPL 25/10/2020

JKT Tanzania ikiwa na njaa ya mabao, imeshusha mkong'oto mzito kwa wenyeji wao Mwadui FC baada ya kuibebesha mzigo wa mabao 1-6, huku Adam Adam akipiga hat trick ya kwanza VPL msimu huu wa 2020/2021. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz