PAMBA VS COASTAL UNION: Timu ya Pamba ya jijini Mwanza imelazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Coastal Union ya tanga katika mchezo wa mtoano kuwania kupanda ligi kuu uliochezwa kwenye Dimba la Nyamagana, Mwanza. Magoli ya Pamba yamefungwa na James Ambrose na Emmanuel Haule wakati Coastal wakipata mabao yao kupitia kwa Abdul Suleiman Sopu na Raizin hafidh. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz