Kimeumana huko Moshi Simba Yapata Pigo zito Ahmedy Ally Afunguka mazito kwa Uchungu Pigo kubwa #Simbasc #polisiTanzania #yangasc #mechiyasimbalive #mechiyayangalive #ccmkirumba #mwanza #yangaleo #geitagoldleo #yangavsgeitagold #ligikuunbc #sportsarena #wasafitv #msimamowaligikuunbc #gsm #caf #cafconfiderationcup #usajilisimbasc #usajiliyangasc #usajili #dirishakubwalausajili #azamtv #millardayo #globaltv #mbiusautitv #wasafitv #sportsarena #fifa #cas #modewji #hajimanara #yusuphmanji #usajli #kikosichasimbaleo #simbaleo #ligikuutanzania #simba #usajiliyangasc #yanga #ligikuu #tanzania #simba #yangaleo #usajilisimbaleo #ligikuu #chama #caf #tff #SIMBASC #YANGASC #SIMBA #LIGIKUUTANZANIA #ligiyamabingwaafrica #Africa #tanzania
Polisi Tanzania na Ruvu Shooting zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi. Polisi ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Tariq Seif na Ruvu wakasawazisha dakika ya 83.
Polisi Tanzania na Ruvu Shooting zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi. Polisi ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Tariq Seif na Ruvu wakasawazisha dakika ya 83.
Tazama highlights jinsi Polisi Tanzania walivyolazimishwa sare ya bila kufungana na Kagera Sugar..... Ni katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Ushirika, Moshi.
Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana TBC Live : https://tbc.go.tz/wp-content/uploads/... App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii; Twitter: https://twitter.com/TBConlineTZ Instagram: https://www.instagram.com/tbc_online/ Facebook: https://www.facebook.com/TBConlineTZ
Goli pekee la Benedictor Jacob dakika ya 46 ndilo lililoipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Ushirika mjini Moshi, Novemba 19, 2021. Tazama highlights
Goli pekee la Benedictor Jacob limeipa Coastal Union ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Ushirika mjini Moshi.
Azam FC wamekula mweleka kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Magoli ya Polisi yamefungwa na Kassim Shaban pamoja na Adam Adam wakati Azam wakipata bao kupitia kwa Idd Seleman .Nado'. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz