Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi, Polisi Tanzania imepata ushindi wa bao 1-0 dnidi ya Mwadui FC ukiwa ni mmoja kati ya mechi tisa zilizochezwa leo kuhitimisha msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2020/21. Goli pekee la Polisi kwenye mchezo huu limefungwa na Jimy Shoji Mwaisondola. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
POLISI VS NAMUNGO: Timu ya Namungo FC imepoteza mchezo kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Ushirika, mjini Moshi. Magoli ya Polisi Tanzania yamefungwa na Kassim Haruna pamoja na Gelard Mathias Mdamu huku Fred Tangalo akifunga bao pekee la Namungo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
POLISI VS NAMUNGO: Timu ya Namungo FC imepoteza mchezo kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mwendelezo wa ligi kuu Tanzania Bara, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Ushirika, mjini Moshi. Magoli ya Polisi Tanzania yamefungwa na Kassim Haruna pamoja na Gelard Mathias Mdamu huku Fred Tangalo akifunga bao pekee la Namungo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
🔴#LIVE: POLISI TANZANIA vs NAMUNGO ( 2 - 1 ) - LIGI KUU BARA, UWANJA wa USHIRIKA... NI Mtangane wa ligi kuu bara kati ya Polisi TZ vs Namungo FC, umechezwa leo Aprili 15, katika uwanja wa Ushirika Moshi.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Hatimaye Azam FC imepata ushindi wake wa kwanza baada ya mechi saba, ikiichapa Polisi Tanzania bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa Desemba 31, 2020 kwenye uwanja wa Ushirika, Moshi. Goli pekee la Azam lilitiwa nyavuni na Ismail Aziz kada dakika ya 88. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Kikosi cha Simba kinarejea jijini Dar es Salaam usiku huu kikitokea Moshi Kilimanjaro tayari kwa ajili ya kujiandaa na mechi yake ya marudiano dhidi ya Plateau United Jumamosi hii. #SimbaPlateau #Simba #Plateau Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Ilikuwa ni mechi ya kufungia msimu wa VPL kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba SC iliyopigwa kwenye Dimba la Ushirikia, Moshi, Simba wakipata ushindi wa mabao 2-1 wafungaji wakiwa ni John Bocco aliyeifungia Simba mabao mawili, na Marcel Kaheza aliyefunga kwa penati. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz