Azam FC wamekula mweleka kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Magoli ya Polisi yamefungwa na Kassim Shaban pamoja na Adam Adam wakati Azam wakipata bao kupitia kwa Idd Seleman .Nado'. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz