Polisi Tanzania 0-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League 19/02/2022
Tazama highlights jinsi Polisi Tanzania walivyolazimishwa sare ya bila kufungana na Kagera Sugar..... Ni katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Ushirika, Moshi.