Moshi Kumetakata,,Ushirika Pamekucha,Leo Jumapili ya Tarehe 10/4/2022,Ni Mbungi ya Kukata na Shoka kati ya Maafande Polisi Tanzania dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba Sc,Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Ni Majira ya Saa Kumi za Jioni, Mpenja Tv Tupo Kukuletea kila kitakachojili kwenye Mchezo huo,Kaa Nasi usipitwe na Lolote. #MpenjaTv #PolisiTanzaniavsSimbaSc #Moshi #UwanjawaUshirika #SimbaSc

Polisi Tanzania imeizuia Simba kufunga goli hata moja kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Ushirika, Moshi na kufanya matokeo yawe 0-0. Hii ni mara ya kwanza kwa Polisi Tanzania kupata angalau alama moja mbele ya Simba tangu ipande daraja msimu wa 2019/20. Tazama baadhi ya matukio kutoka kwenye mchezo huo.
MANARA Awalipua SIMBA Baada ya SULUHU na POLISI - "ENDELEENI KUKARIRI, NIMEONDOKA na UBINGWA WANGU" Baada ya dakika 90 za mtanange wa ligi kuu Tanzania bara kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba, kumalizika kwa sare ya bila kufungana, pale katika dimba la Ushirika Moshi, Mkoani Klimanjaro, aliyekuwa msemaji wa Simba, ambaye sasa ni msemaji wa wananchi Yanga, Haji Manara ameandika ujumbe mzito akiwabeza Simba Sc. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline