Content removal request!


Polisi Tanzania 1-1 Ruvu Shooting | Highlights | NBC Premier League 01/04/2022

Polisi Tanzania na Ruvu Shooting zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi. Polisi ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Tariq Seif na Ruvu wakasawazisha dakika ya 83.