๐Ÿ”ด#TBCLIVE: MTIBWA SUGAR FC (2) vs (4) SIMBA SC | UWANJA WA MANUNGU, MOROGORO
๐Ÿ”ด#TBCLIVE: MTIBWA SUGAR FC (2) vs (4) SIMBA SC | UWANJA WA MANUNGU, MOROGORO

Fuatilia kipindi cha Sekeseke Michezoni ya TBC FM Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia Saa 12:00 - 02:00 Usiku

ALLY KAMWE RASMI AJIUZULU/MAYELE AINGILIA KATI/"TUTAMRUDISHA SHULE AKASOME/HAJUI/NIMECHEZA KAMA LIGI
ALLY KAMWE RASMI AJIUZULU/MAYELE AINGILIA KATI/"TUTAMRUDISHA SHULE AKASOME/HAJUI/NIMECHEZA KAMA LIGI

Leo ndio Leo ๐Ÿ”ฅ ndani ya Mkoa wa Morogoro Wadau na wapenzi wa Soka Watashuhudia Burudani safi ya mpira wa Miguu katika Dimba la Jamhuri ๐ŸŸ.. Ni Mchezo wa Hisani WAPE TABASAMU 2023 kati ya TEAM KIBWANA SHOMARI Vs TEAM DICKSON JOB โฐ Kuanzia Saa 08:00 Mchana JE, Unadhani nani ataibuka Mbabe ๐Ÿ˜Šโ‰๏ธ Endelea Kuwa karibu na Mpenja Tv kwa Updates Zaidi.

Magoli na mikwaju ya penati | Team Kibwana 2-2 Team Job (Pen: 2-4) |  Mechi ya Hisani 30/06/2023
Magoli na mikwaju ya penati | Team Kibwana 2-2 Team Job (Pen: 2-4) | Mechi ya Hisani 30/06/2023

Team Job ambayo iko chini ya beki Dickson Job wa Yanga imeibuka na ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Team Kibwana iliyo chini ya Kibwana Shomary baada ya sare ya 2-2 katika muda wa kawaida, ukiwa ni mchezo wa hisani kusaidia afya ya uzazi ikienda kwa jina la #WapeTabasamu . Yamefungwa magoli manne na wachezjazi wawili katika muda wa kawaida.... Wachezaji hao ni Abdul Suleiman Sopu akiifungia Team Kibwana magoli mawili dakika ya 23 na 50 huku Saimon Msuva akichomoa magoli yote mawili dakika ya 74 na 80. Mechi imepigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Shuhudia hapa magoli yote na mikwaju ya penati.

WASEMAJI WA TIMU KIBWANA NA TIMU JOB WAPIGANA TAMBO KUELEKEA MCHEZO/MBONEKE AMGEUKA JOB.
WASEMAJI WA TIMU KIBWANA NA TIMU JOB WAPIGANA TAMBO KUELEKEA MCHEZO/MBONEKE AMGEUKA JOB.

Leo tarehe 22/06/2023 imetolewa tarehe rasmi ya Mchezo wa Wape Tabasamu 2023 ambao utapigwa Mkoani Morogoro ukikutanisha Timu Kibwana Dhidi ya Timu Dickson Job kwenye Uwanja wa Jamhuri. Dhumuni kubwa la Mchezo huo ni Uzazi Salama kwa Kizazi Bora. Kocha wa Timu Kibwana ni George Ambangile huko Kocha wa Timu Job akiwa ni Ally Kamwe

AZAM FC WAKIWA NYUMBANI WANAKUWA BORA SANA/WASHAMBULIAJI WAO WANA AKILI SANA/TUMEFANYA MAKOSA
AZAM FC WAKIWA NYUMBANI WANAKUWA BORA SANA/WASHAMBULIAJI WAO WANA AKILI SANA/TUMEFANYA MAKOSA

Leo April 07, 2023 Klabu ya Azam Fc inashuka Dimbani majira ya saa 21:00 Usiku kuminyana na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro ...

SIMBA WALIKUA BORA/IHEFU WALIKUA DHAIFU/SIMBA WATAKUTANA NA SISI AZAM FC/DUBE HAFUNGI KWASABABU...

« Previous Next »

Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Counter Attack Goals Football  #Luis Suarez  #Lionel Messi  #Kobe Bryant  #Best Football Defending Skills  #Chicago Bulls  #Gareth Bale  #Amazing Solo Goals  #Shaquille O'Neal  

Popular Users

#realmadrid  #si_vault  #PMOIndia  #rolopez42  #RobbieSavage8  #DeionSanders  #josecanseco  #justinbieber  #twitter  #CNN  #itsBayleyWWE  #J_No24  #selenagomez  #MichelleDBeadle  #Joey7Barton