Mshambuliaji Habi Kyombo wa Singida United akiukwamisha mkwaju wa penati wavuni na kuiandikia timu yake bao la kuongoza dhidi ya Mbeya City kwenyw dimba la Namfua. Owen Chaima 'kapotezwa'.