Magoli | Mbeya Kwanza 1-2 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 26/02/2022
Magoli | Mbeya Kwanza 1-2 Mtibwa Sugar | NBC Premier League 26/02/2022

Mtibwa Sugar imepata ushindi wake wa tatu msimu huu kwenye ligi baada ya kuichapa Mbeya Kwanza mabao 2-1 katika game iliyopigwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Mtibwa wametangulia kupitia kwa Mululi Mayanja , Mbeya wakachomoa kwa penati ya Habibu Kyombo lakini Mtibwa wakaongeza la pili kwa goli la Omary Sultan.



Magoli ya Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza, Tazama ufundi wa kupiga penati
Magoli ya Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza, Tazama ufundi wa kupiga penati

#GeitaGold #Mbeyakwanza #nbc #azamtv #mpenjatv #geita #mbeyakwanza #ligikuu Tazama Magoli ya Penati, Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza leo Tarehe 27/12/2021. Magoli yakifungwa na George Mpole dakika ya 51 na la Mbeya kwanza likifungwa na Habib Kyombo dakika ya 81.



SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 12/05/2019)
SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 12/05/2019)

Singida United imetoshana nguvu na JKT Tanzania kwa kufungana mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Namfua mjini Singida katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) Wenyeji hao ndiyo waliokuwa wakitangulia kufunga na wageni kufanya kazi ya kuchomoa, magoli yote ya Singida United yakifungwa na Habibu Haji Kyombo dakika ya 30 na 50 huku magoli ya JKT yakifungwa na Dickson Chota dakika ya 45+4 na Samwel Kamuntu dakika ya 78. Matokeo hayo yameifanya JKT Tanzania kufikisha pointi 41 na kukaa nafasi ya 16 huku Singida United wakiwa na pointi 45 katika nafasi ya nane.



SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: MAGOLI YOTE (TPL - 12/05/2019)
SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: MAGOLI YOTE (TPL - 12/05/2019)

Singida United imetoshana nguvu na JKT Tanzania kwa kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Namfua mjini Singida. Wenyeji hao ndiyo waliokuwa wakitangulia kufunga na wageni kufanya kazi ya kuchomoa, magoli yote ya Singida United yakifungwa na Habibu Haji Kyombo dakika ya 30 na 50 huku magoli ya JKT yakifungwa na Dickson Chota dakika ya 45+4 na Samwel Kamuntu dakika ya 78. Matokeo hayo yameifanya JKT Tanzania kufikisha pointi 41 na kukaa nafasi ya 16 huku Singida United wakiwa na pointi 45 katika nafasi ya nane.



TANZANIA U-23 (3-1) BURUNDI U-23: FULL HIGHLIGHTS
TANZANIA U-23 (3-1) BURUNDI U-23: FULL HIGHLIGHTS

Mchezo wa raundi ya pili wa kuwania kufuzu kwa michuano ya Afcon kwa vijana wa U-23 kati ya Tanzania na Burundi uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Tanzania ilishinda kwa mabao 3-1 lakini hata hivyo imeondolewa kwenye michuano hiyo licha ya matokeo ya jumla kuwa 3-3. Burundi imenufaika kwa faida ya bao la ugenini baada ya kushinda kwa mabao 2-0 kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Bujumbura. Magoli ya Tanzania kwenye mchezo huo yalifungwa na Habib Kyombo, Mbaraka Yusuph na Salum Kihimbwa.



TANZANIA v BURUNDI: Bao la Habib Kyombo dakika ya 4
TANZANIA v BURUNDI: Bao la Habib Kyombo dakika ya 4

Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23, Kilimanjaro Worriors inapambana na Burundi kwenye kuwania kufuzu kwa fainali za Afcon kwa wachezaji wa umri wao. Hili hapa bao la Habib Kyombo akiitanguliza Tanzania.



SINGIDA UNITED 3-1 NDANDA FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 06/10/2018)
SINGIDA UNITED 3-1 NDANDA FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 06/10/2018)

Singida United ya mjini Singida imeichapa NDanda SC mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye uwanja wa Namfua Singida. Habibu Haji Kyombo ndiye aliyeing’arisha Singida kwenye mchezo huo kwa kufunga mabao mawili dakika ya 34 kwa mkaju wa penati na dakika ya 36. Ndanda walifanikiwa kupata bao moja dakika ya 75 kupitia kwa Vitalis Mayanga kabla ya Eliuter Mpepo kuifungia Singida bao la tatu kwa free-kick ya moja kwa moja dakika ya 86.



SINGIDA UTD 3 - 0 MBEYA CITY: MAGOLI YOTE
SINGIDA UTD 3 - 0 MBEYA CITY: MAGOLI YOTE

Tazama mabao yote matatu yaliyopata Singida United kwenye ushindi dhidi ya Mbeya City. Mechi imepigwa kwenye dimba la Namfua na waliozamisha jahazi la Mbeya City ni Habib Kyombo, John Tibar na Yusuph Kagoma. Unadahani uzembe wa walinzi wa Mbeya City umechangia kiasi gani kipigo hiki?




« Previous Next »


Popular Tags

#Derrick Rose  #Best Goalkeeper Saves  #Football Defensive Skills  #Luis Suarez  #Zlatan Ibrahimovi  #LeBron James  #Los Angeles Lakers  #Shaquille O'Neal  #Shot Goals  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#DeionSanders  #SHAQ  #floydmayweather  #BellaTwins  #billsimmons  #SrBachchan  #rioferdy5  #THNRyanKennedy  #ladygaga  #KDTrey5  #serenawilliams  #justinbieber  #Ky1eLong  #jimmyfallon  #BarackObama