TANZANIA v BURUNDI: Bao la Habib Kyombo dakika ya 4
Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23, Kilimanjaro Worriors inapambana na Burundi kwenye kuwania kufuzu kwa fainali za Afcon kwa wachezaji wa umri wao.
Hili hapa bao la Habib Kyombo akiitanguliza Tanzania.