Content removal request!


SINGIDA UTD 3 - 0 MBEYA CITY: MAGOLI YOTE

Tazama mabao yote matatu yaliyopata Singida United kwenye ushindi dhidi ya Mbeya City. Mechi imepigwa kwenye dimba la Namfua na waliozamisha jahazi la Mbeya City ni Habib Kyombo, John Tibar na Yusuph Kagoma. Unadahani uzembe wa walinzi wa Mbeya City umechangia kiasi gani kipigo hiki?