Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini kupitia kituo Cha Redio cha Azam TV Geofrey Mwamnyanyi ametupa uchambuzi yakinifu ...
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika Yanga imefuzu hatua ya makundi kwenye michuano hiyo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 ugenini. Yanga ilikuwa wageni wa Club Africain kutokea Tunisia na ilikubali kulala kwa bao 1-0, lilifungwa na kiungo mtaalamu Aziz Ki baada ya kupokea pasi nzuri na straika, Fiston Mayele dakika 79. Ki hakuanza kwenye kikosi cha kwanza aliingia kipindi cha pili na alionekana kuongeza umakini kwa Yanga haswa eneo la kushambulia hadi kupata ushindi huo. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Mchambuzi wa habari za michezo na kocha wa mpira wa miguu Tigana Lukinja akitoa maoni yakiufundi ameleza kwamba ubora wa Simba Sc upo katika eneo la kiungo jambo ambalo limeifanya Simba Sc kupata matokeo kwaurahisi na ufanisi mbele ya Mtibwa Sugar na timu zingize ambazo Simba imeshinda. Pia ameeleza kwamba kurejea kwa viwango vya wachezaji waliozoeleka kufunga mara kwa mara lakini kwa siku za hivi karibuni makali yao hayakuonekana lakini katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar yameonekana, ameeleza sababu kubwa yakurejea kwao ni utashi wa waalimu wa Simba Sc Selemani Matola na Juma Mgunda kuweza kuwa karibu sana na wachezaji kwakuondoa mipaka ambayo inasababisha ufanisi wa wachezaji katika uwanja wa mazoezi na mafunzo.
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV KIUNGO fundi wa Yanga, Feisal Salum 'Fei toto' alikua mwiba mkali kwa Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao Wananchi waliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Licha ya Maafande hao kumweka chini ya ulinzi, kinara wa mabao wa Yanga, Fiston Mayele walikiona chamoto kupitia kwa Feisal ambaye alifungua ukurasa wa mabao kwa vijana hao wa Nasreddine Nabi. Mbali na bao la kichwa ambalo alifunga Feisal dakika ya 52 baada ya krosi nzuri ya Joyce Lomalisa, alikuwa kiunganishi mzuri kwa Yanga katika kujenga mashambulizi yao. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Leo Tarehe 2/10/2022 Simba Sc wanashuka Dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Walima Zabibu Dodoma Jiji, kwenye ...