NAMKUBALI SANA CHAMA/WATANZANIA WANANIPENDA SANA/MSIKIE VIVIAN QUORAZONE WA SIMBA QUEENS.
NAMKUBALI SANA CHAMA/WATANZANIA WANANIPENDA SANA/MSIKIE VIVIAN QUORAZONE WA SIMBA QUEENS.

Leo Agust 26 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Mchezaji wa Simba Queens Vivian Quorazone kuhusu maisha yake ya Soka akiwa Simba Queens. . Fungua video hii umsikie vizuri kiungo huyu.



KOCHA KAGERA SUGAR AKIRI - "TUMEWAPA MAGOLI ya ZAWADI SIMBA, TULIWAWEZA ENEO la KIUNGO"
KOCHA KAGERA SUGAR AKIRI - "TUMEWAPA MAGOLI ya ZAWADI SIMBA, TULIWAWEZA ENEO la KIUNGO"

KOCHA KAGERA SUGAR AKIRI - "TUMEWAPA MAGOLI ya ZAWADI SIMBA, TULIWAWEZA ENEO la KIUNGO" HATIMAYE ...



NELSON OKWA: KIUNGO BUIBUI | UBORA | UDHAIFU | VITA MSIMBAZI.
NELSON OKWA: KIUNGO BUIBUI | UBORA | UDHAIFU | VITA MSIMBAZI.

#NelsonOkwa #UsajiliSimba #Kiungo Ukiona Manyoya Ujue kuku Kaliwa; Hivi ndivyo unavyoweza kusema juu Usajili wa Nelson Esor BULUNWO OKWA, Mnigeria mwenye Miaka 25 anayekicheza katika nafasi ya Kiungo. Okwa kabla ya kutua Msimbazi alikuwa akikipiga na klabu ya Rivers United ya Nchini Nigeria; Ile iliyowatoa Yanga katika hatua ya Mchujo Klabu Bingwa Afrika Msimu Uliopita. Okwa ni miongoni mwa Wachezaji wachache Saaa katika Ligi yetu watakao tumia Miguu yote kusakata Kabumbu. Takwimu za ligi kuu nchini Nigeria zinaonyesha kuwa Okwa Msimu huu amecheza dakika 1731 katika mechi 26 kati ya 38, ikiwa ni sawa na wastani wa kucheza dakika 66.5 kwa kila mechi na kufanikiwa kucheka na Nyavu Mara 5. Labda nikiri tu kuwa Okwa ni miongoni mwa wachezaji Machachari sana wawapo Dimbani. KUpitia Uchambuzi huu nitakwambia Okwa ni Mzuri Zaidi akicheza Nafasi gani akiwa Uwanjani, lakini pia Nitakwambia kwa Simba ya Zoran, Okwa ili awe na Thamani anatakiwa kuchezeshwaje. Usisahau kupitia Hapa Nitakupa Picha halisi ya Vita ya Namba ninayoiona kutokana na Usajili wa Okwa Msimbazi. Kaa hapo hapo, tena kwa Kutulia na Ili Kuhakikisha kuwa hupitwi na chochote Nakuomba SUBSCRIBE kisha Bofya alama ya kengele; SoccerData imejipanga kukushushia Mawe ya Kiufundi na kuisogeza Timu yako karibu nawe. Tufuate kule Instagram na Facebook kwa Jina la SoccerdATA Tanzania. Bila kupoteza muda acha tuanze;



OKRAH KASHAANZA MAMBO HUKO MISRI, KATUPIA MOJA, AKIPATA NAFASI ANAITUMIA
OKRAH KASHAANZA MAMBO HUKO MISRI, KATUPIA MOJA, AKIPATA NAFASI ANAITUMIA

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC Augustine Okrah leo amecheza game yake ya kwanza akiwa na Simba SC dhidi ya Ismaily wakiwa nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa siku 21 na ameanza kwa kufunga goli katika mchezo huo wa kirafiki uliyomalizika kwa sare 1-1.



🔴Usajili waliofanya GSM kwa yanga ni balaa Tazama kikosi hiki cha Kwanza Kimataifa msimu 2022/2023
🔴Usajili waliofanya GSM kwa yanga ni balaa Tazama kikosi hiki cha Kwanza Kimataifa msimu 2022/2023

🔴Usajili waliofanya GSM kwa yanga ni balaa Tazama kikosi hiki cha Kwanza Kimataifa msimu 2022/2023 🔴Live! Utambulisho wa Aziz Kii leo Yanga yavunja Record Tazama hii,Gharama za mkataba wake,GSM balaa 🔴Live! Aziz Kii Atua Tanzania Utambulisho wake kufanyika usiku wamanane Manara athibitisha haya..!! 🚨Live! Simba Kutikisa Tena dunia Utambulisho wa mchezaji Mwingine Tishio Ouattara,Manzoki,Bobosi..! 🔴Live! Yanga wanabalaa Utambulisho wa Aziz Kii kama Mfalme,Tazama ubunifu,GSM hawapoi Yanga Tamu 🔴Live! Mapokezi ya Aziz Kii Dar Es salaam,Yatikisa ametua na Meneja wake, Apokelewa na Manara,Rais 🔴Live! Mchezaji mpya Yanga beki kisiki Joyce Lomalisa Mutambala Tazama anavouwasha ni balaa,Mazoezi 🔴Live! Yanga kutambulisha Simon Msuva muda huu!! Eng Hersi Rais mpya wa Yanga,athibitisha kila kitu 🚨Alichokisema Manara baada ya Yanga kutambulisha Lomalisa Mutambala "Makolo wapewe Panadol" Mapilau 🔴Live! Utambulisho wa Lomalisa Mutambala ni balaa Yanga watuma ujumbe mzito kwa simba,mkataba wake!! 🔴Live! GSM hawana Dogo Tazama Utambulisho wa mchezaji huyu, Vyuma vitatu vinatambulishwa muda huu.!! 🚨Utambulisho wa Chuma kipya cha Yanga ni balaa Joyce Lomalisa Mtambala kutoka GD Sagrada ya Angola 🚨Usajili wa Simba gumzo kila siku Tazama alichokisema Manara baada ya Nassoro Kamapa kutua msimbazi! 🚨Baada ya Kiungo Newcastle kutua..!! Yanga Mpya Tishio Afrika, Yawagumzo kila kona,Aziz Kii Anogesha 🔴Uongozi wa Yanga watoa Tamko muda huu Mkataba wa Lomalisa Mtambala,Usajili wa mwisho Tishio ni huu 🚨Usajili huu! Manara Atoa Tamko "Litakufa Jitu Msimu huu" Makolo wana maneno ya kike,kwetu nikufumua 🔴Live! Mapokezi ya Aziz Kii Yanga ya vunja Record, Gharama za usajili wake,Ada ya kila mwezi Tishio! 🚨Exclusive! Kauli Tata ya mchezaji mpya wa Yanga "Nimakataa Ofa za ulaya" Takwimu zake! Manara anena 🚨Breaking! Orodha ya wanao ondoka Yanga wafikia (10) Makambo wakwanza kutoka,maboresho ya kikosi..!! 🔴Live! Simba waanza kutambulisha mmoja mmoja Habibu Kyombo Atua msimbazi, usajili wake wazua Gumzo!! 🔴Live! Manara atangaza kikosi chake cha kwanza msimu wa 2021/2022 Simba 1 Geita 1,Hii ni balaa Tazam 🚨Yanga Watangaza Jambo Lao Usiku huu! Lakusimamisha Afrika mchezaji huyu Atatambulishwa!Profile Yake 🚨Tazama Gael Bigirimana Fundi Toka Newcastle ya Uingereza Atua Tanzania,Amesajiliwa Miaka! GSM balaa 🔴Live:Aziz Kii Alivyopokelewa na Manara ni balaa,Kwa usajili huu wa Yanga litakufa Jitu,Weka na Gaer 🚨TFF watangaza Kikosi bora cha Msimu 2021/2022! Aucho Out! Sopu in "Simba wachezaji 3 Yanga 6" 🚨Kimeumana! Tuzo za TFF21/2022 zazua gumzo! "Tuzo za mchongo" Tazama matukio haya muhimu,hawakustail 🚨Exclusive! Yanga wamtambulisha Simon Msuva akitokea Wydad Casablanca ya Morocco,Asaini Miaka miwili Kikosi kipya cha kwanza cha Yanga msimu wa 2022/2023 Hapa Morrison kule Aziz Kii balaa zito linakuja 🚨!! GSM hawataki mchezo Wamaliza kila kitu Kwa Luiz Miquissone wamchomoa Al Ahly "Karibu Yanga" Eng 🔴Yanga wamtangaza Mshambuliaji Gael Bigirimana kutoka Newcastle ya Uingereza huyu ni Tishio,Mkataba! 🔴Kumekucha! Tazama balaa la mchezaji mpya toka Cameroon Mazoezini Yanga,Eng Herse Akubari moto wake 🔴Exclusive:Luiz Miquissone aweka wazi mkataba wake,Amesajiliwa Yanga, GSM wamwaga pesa "Nipo Tayari" 🔴Exclusive:Herve Ngomo Takougoum Afunguka baada ya kusajuliwa Yanga akitokea CotonSports ya Cameroon 🔴Breaking:Simba Kuifikisha Yanga Mahakama ya kimataifa CAS,Kutambulishwa Morrison "Tutawanyoosha"GSM 🔴Kimeumana! Morrison akiacha Utoto! Ataifikisha Yanga mbali Kimataifa "Simba kwenda CAF" ANGUKO LAKE 🔴Baada ya Morrison kutambulishwa Yanga Tazama shombo za Manara Kwa Simba "Release Letter bakini Nayo Breaking:Morrison Arejea Yanga,wamtangaza Kwa mbwembwe mda huu warusha dongo Simba "Release Letter" 🔴GSM Wapindua meza kibabe baada ya Al Ahly kumuweka Miquissone sokoni,Simba yatuma Ofa! Anatua Yanga 🔴Usajili wa Yanga ni balaa waanza na Abdul Sopu baada ya kuwafunga Hatrick Fainali ASFC,mwamba haswa 🔴Kimeumana! TFF watoa Tamko zito "Manara Afungiwa"Matusi Kwa Raisi,Yanga Wapigwa Faini kisa Mashabik 🔴Breaking:Baada ya Manara kumpiga Ngumi Rais wa TFF Wallace Karia,Afungiwa Maisha,Video hii,mbele ya 🔴Alichokisema Manara baada ya Yanga kuchukua kombe la ASFC dhidi ya Coastal(4-1) "Makolo Mulibwanji" Magoli Yote & Penalties Yanga vs Coastal union (P' 7-4) |Fainali kombe la Shirikisho ASFC Highlights Penalty Zote Yanga vs Coastal union 3-3(P' 4-1) | Fainali kombe la Shirikisho ASFC Highlights 🔴Live:Penalties Yanga vs Coastal union (3-3)| Fainali kombe la Shirikisho ASFC Highlights Magoli yote Yanga vs Coastal union (2-3)| Fainali kombe la Shirikisho ASFC Highlights Goli la Faisali 58'Min Yanga vs Coastal union (1-1) | Fainali kombe la Shirikisho ASFC Highlights Goli la Sopu 10' min Yanga vs Coastal union (0-1) | Fainali kombe la Shirikisho ASFC Highlights #YangaSc #SimbaSc #NBCPL #CAF #JwanengGalaxy #SMs #MbeyaConscious #ActionMovie #BongoMovie #MimiEnoc #Bingoonlinemedia #DiamondPlatnumz #Oil



BALAA ZITO! AZIZ KI, KIUNGO WA UINGEREZA WANATUA LEO, INJINIA HERSI ATOA TAMKO ZITO, SIMBA NI VILIO
BALAA ZITO! AZIZ KI, KIUNGO WA UINGEREZA WANATUA LEO, INJINIA HERSI ATOA TAMKO ZITO, SIMBA NI VILIO

YANGA INASIMAMISHA JIJI LEO, KUSHUSHA MASHINE MBILI BALAA! INJINIA HERSI ATOA TAMKO ZITO CHEKI VIDEO NZIMA



HII SIMBA ya MATOLA ni HATARI SANA, Afunguka SAKHO Kucheza KIUNGO kwa MARA ya KWANZA..
HII SIMBA ya MATOLA ni HATARI SANA, Afunguka SAKHO Kucheza KIUNGO kwa MARA ya KWANZA..

HII SIMBA ya MATOLA ni HATARI SANA, Afunguka SAKHO Kucheza KIUNGO kwa MARA ya KWANZA.. DAKIKA 90 za mtanange ...




« Previous Next »


Popular Tags

#Best Ball Controls  #Shaquille O'Neal  #Gareth Bale  #Sergio Aguero  #Gareth Bale  #Kobe Bryant  #Best Goals  #Russell Westbrook  #Counter Attack Goals Football  #Goalkeeper Saves  

Popular Users

#BeingSalmanKhan  #RyanBabel  #THNRyanKennedy  #KimKardashian  #obj  #Oprah  #RobGronkowski  #JLo  #cnnbrk  #J_No24  #fauxpelini  #Kaepernick7  #BarackObama  #ochocinco  #TheEllenShow