BAADA YA KURUDI YANGA FEISAL AOMBA MSAMAHA, ''AMEWAKOSEA SANA WANANCHI WA YANGA'' ,MSAMAHA MUHIMU
BAADA YA KURUDI YANGA FEISAL AOMBA MSAMAHA, ''AMEWAKOSEA SANA WANANCHI WA YANGA'' ,MSAMAHA MUHIMU

WANANCHI WAMEMSHAURI KIUNGO WA YANGA FEISAL SALUM KUOMBA MSAMAHA MARA BAADA YA KUREJEA NDANI YA TIMU HIYO KUTOKANA NA VITENDO AMBAVYO AMEVIFANYA AMBAVYO SIO VYA KIUNGWANA

#BREAKING: FEISAL SALUM 'FEI TOTO' AWAAGA WANANCHI RASMI/"MOYO UNAUMA KUSEMA KWAHERINI/TUTAONANA"
#BREAKING: FEISAL SALUM 'FEI TOTO' AWAAGA WANANCHI RASMI/"MOYO UNAUMA KUSEMA KWAHERINI/TUTAONANA"

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Feisal Salum Abdalah rasmi amechana na Klabu hiyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Feisal amewaaga Rasmi wanachama na Mashabiki wa Yanga baada ya Kuchapisha Barua kwenye Ukurasa wake wa Instagram masaa machache yaliyopita......

KAGERA WALIKUWA BORA SANA ENEO LA KIUNGO/MBINU ZA MAKOCHA/MAGOLI YAMEFUNGWA NA MABEKI/ENEO LA KATI..
KAGERA WALIKUWA BORA SANA ENEO LA KIUNGO/MBINU ZA MAKOCHA/MAGOLI YAMEFUNGWA NA MABEKI/ENEO LA KATI..

Ligi kuu ya NBC leo Jumatano Disemba 21, 2022, ni moto wa kuotea mbali Uwanja wa Kaitaba Stadium Bukoba Mkoani Kagera ...

IMEISHA HIYO , ALLY KAMWE AMTAJA BOBOSI KUTUA YANGA DIRISHA DOGO, KWA MARA YA KWANZA , FEISAL HAUZWI
IMEISHA HIYO , ALLY KAMWE AMTAJA BOBOSI KUTUA YANGA DIRISHA DOGO, KWA MARA YA KWANZA , FEISAL HAUZWI

AFISA HABARI WA YANGA ALLY KAMWE KWA MARA YA KWANZA AMEWEZA KUFUNGUKA KILA KITU KINACHOHUSIANA NA YANGA MAENDELEO YAO NA MASUALA MAZIMA YANAYOHUSIANA NA USAJILI WA TIMU HIYO KUELEKEA DIRISHA DOGO LA USAJILI AMBAPO JAMBO LINALOTREND KWA SASA NI MASUALA MAZIMA YA USAJILI NDANI YA TIMU HIYO AMBAPO JINA LINALOTREND KWA SASA NI LA KIUNGO WA UGANDA BOBOSI BYRAHANGA

“NAIPONGEZA YANGA KWA KUWA UNBEATEN”/HAKUNA KIUNGO WA KUMZIDI BRUNO GOMES/SINGIDA NI PIRA CHOTARA
“NAIPONGEZA YANGA KWA KUWA UNBEATEN”/HAKUNA KIUNGO WA KUMZIDI BRUNO GOMES/SINGIDA NI PIRA CHOTARA

Mtazame hapa Ofisa habari wa klabu ya Singida Big Stars baada ya kupata ushindi wa goli 1 mbele ya Ruvu Shooting ukiwa ni ...

« Previous Next »

Popular Tags

#Los Angeles Lakers  #Allen Iverson  #Tristan Thompson  #Zlatan Ibrahimovi  #Neymar  #Gareth Bale  #Chicago Bulls  #Miami Heat  #Manuel Neuer  #Stephen Curry  

Popular Users

#UKCoachCalipari  #TheCUTCH22  #WWE  #DeionSanders  #oldhossradbourn  #Oprah  #itsBayleyWWE  #katzm  #_BAnderson30_  #MichelleDBeadle  #JJWatt  #JohnCena