TIGANA LUKINJA: UBORA WA SIMBA UPO KATIKA KIUNGO/MPIRA UNAPOISHA MCHEZAJI ANAJITATHIMINI by @Simba SC Fans Tv - Post Details

TIGANA LUKINJA: UBORA WA SIMBA UPO KATIKA KIUNGO/MPIRA UNAPOISHA MCHEZAJI ANAJITATHIMINI

Mchambuzi wa habari za michezo na kocha wa mpira wa miguu Tigana Lukinja akitoa maoni yakiufundi ameleza kwamba ubora wa Simba Sc upo katika eneo la kiungo jambo ambalo limeifanya Simba Sc kupata matokeo kwaurahisi na ufanisi mbele ya Mtibwa Sugar na timu zingize ambazo Simba imeshinda. Pia ameeleza kwamba kurejea kwa viwango vya wachezaji waliozoeleka kufunga mara kwa mara lakini kwa siku za hivi karibuni makali yao hayakuonekana lakini katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar yameonekana, ameeleza sababu kubwa yakurejea kwao ni utashi wa waalimu wa Simba Sc Selemani Matola na Juma Mgunda kuweza kuwa karibu sana na wachezaji kwakuondoa mipaka ambayo inasababisha ufanisi wa wachezaji katika uwanja wa mazoezi na mafunzo.

Similar Posts!

SEIF SIMBA APAGAWA NA KUICHAPA TRA/ HUYU STEVE BARKER ACHANA NI BALAA TUPU/ AWAMWAGIA SIFA VIONGOZI

Karibu Simba SC Fans Tv, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano. Usisahau kujiunga nasi . Karibuni sana.

MCHUNGAJI SIMBA ACHAFUA HALI YA HEWA/ VIONGOZI MKIPELEKA TIMU MMETUDHALILISHA/ YANGA NANI NCHI HII??

SIMBA HEAVYWEIGHT AWAPIGA DONDO WACHAMBUZI WALAFUTARI/ AVALISHWA BEJI YA ULINZI SIMBA KWA KAZI NZURI

DOGO YUSUPH  ACHAFUKWAAAA!!!! TUACHENI TUWASIFIE SIMBA/ OGOPA SANA HASIRA ZA FADLU/ TATOO NI MAPENZI

NAZARETH UPETE: KATIKA KIKOSI CHA SIMBA HAKUNA WAKUMUWEKA KRAMO BENCH/KWASASA NINGUMU KWA ROBERTINHO

AMBANGILE: JEZI ZIMEHESHIMISHWA, NI TUKIO LA KIHISTORIA ULIMWENGUNI

Tumefanikiwa kufanya mahojiano na mchambuzi bora kutoka Wasafi fm & tv na kuzungumzia namna tukio la uzinduzi wa jezi litakavyo andika rekodi mpya katika sektaya michezo na utalii.

MANUNGU HAPATOSHII: SIMBA INATULETEA NEEMA, SIMBA INAPENDWA KULIKO MTIBWA SUGAR

Wafanya biashara ndogo ndogo pembezoni mwa uwanja wa Manungu wametanabaishwa kwamba ujio wa Simba Sc kucheza katika uwanja huo nifulsa kwao kwasababu mauzo ya biashara zao nimakubwa tofautina ujio wa timu zingine

PASI MILIONI + HAJI MPEMBA:  HAWA VIPERS WAMEKOSEA NASA LEO NDO TUNAONYESHA UKUBWA WA SIMBA