Content removal request!


ALI KAMWE AICHAMBUA YANGA ATEMA SHOMBO BAADA YA KUWAFUNGA RUVU

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV KIUNGO fundi wa Yanga, Feisal Salum 'Fei toto' alikua mwiba mkali kwa Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao Wananchi waliibuka na ushindi wa mabao 2-1. Licha ya Maafande hao kumweka chini ya ulinzi, kinara wa mabao wa Yanga, Fiston Mayele walikiona chamoto kupitia kwa Feisal ambaye alifungua ukurasa wa mabao kwa vijana hao wa Nasreddine Nabi. Mbali na bao la kichwa ambalo alifunga Feisal dakika ya 52 baada ya krosi nzuri ya Joyce Lomalisa, alikuwa kiunganishi mzuri kwa Yanga katika kujenga mashambulizi yao. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV