Simba SC Fans Tv's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Karibu Simba SC Fans Tv, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano. Usisahau kujiunga nasi . Karibuni sana.

NAZARETH UPETE: KATIKA KIKOSI CHA SIMBA HAKUNA WAKUMUWEKA KRAMO BENCH/KWASASA NINGUMU KWA ROBERTINHO
Tumefanikiwa kufanya mahojiano na mchambuzi bora kutoka Wasafi fm & tv na kuzungumzia namna tukio la uzinduzi wa jezi litakavyo andika rekodi mpya katika sektaya michezo na utalii.
Wafanya biashara ndogo ndogo pembezoni mwa uwanja wa Manungu wametanabaishwa kwamba ujio wa Simba Sc kucheza katika uwanja huo nifulsa kwao kwasababu mauzo ya biashara zao nimakubwa tofautina ujio wa timu zingine
PASI MILIONI + HAJI MPEMBA: HAWA VIPERS WAMEKOSEA NASA LEO NDO TUNAONYESHA UKUBWA WA SIMBA
Hayo ndiyo machache aliyoyasema kocha wa Simba Sc Juma Mgunda baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar kutamatika huku ...
Maneno ya kocha mkuu wa Simba Sc Juma Mgunda akipongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho ambao ...
Shabiki wa klabu ya Simba, Mr. Simba Ulaya akizungumza na mwandishi wetu baada ya mchezo wa Geita Gold fc dhidi ya Simba ...
Mashabiki wa klabu ya Simba wakiimba nyimbo za simba baada ya ushindi mnono dhidi ya Geita Gold fc ndani ya CCM Kirumba ...
MGUNDA: TULIWAZIDI UWEZO GEITA GOLD/WACHEZAJI WANGU WALIJITUMA.
Simba fans tv ikiripoti kutoka uwanja wa Mkapa Dar es salaam Kuelekea mchezo wa Simba sc dhidi ya Ihefu kutoka mbarali ...
Baada ya kutamatika kwa mchezo wa Singida Big Stars na Simba Sc ambao umemaliozika kwa sare ya 1-1 Kocha Jumka ...
kuelekea mchezo wa leo kati ya Singida Big Stars na Simba sc, mashabiki wamejitokeza kwa wingi sana huku uwanja wa Liti ...