Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC,Ally Kamwe ameeleza Maandalizi yao kuelekea Mchezo dhidi ya Rhino Rangers wa Hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Utakaochezwa Kesho Uwanja wa Benjamin Mkapa. Pia amesema Muda si Mrefu Wananchi wataona Thamani ya Mshambuliaji wao Mpya Kennedy Musonda. Ameongeza Kusema Kiungo wao Mpya Mudathir Yahya amekuwa na Impact kuliko Mchezaji yeyote aliyesajiliwa Dirisha Dogo
Leo Januari 16, 2023, Mpenja TV tupo Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kukuletea Matukio Yote yatakayojiri katika mchezo mkali wa ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji Yanga Sc dhidi ya Ihefu 'MBOGO MAJI' ... NB: Kaa Karibu na Mpenja Tv kupata kila Jambo linaloendelea katika Mchezo huu ambao Yanga wameupa Jina la 'USIKU WA KISASI'...
Mtangazaji wa Soka kutoka Azam Media LTD, Gharib Mzinga anatueleza Sifa za Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba aliyetangazwa leo,Roberto Olivieira Raia wa Brazil ambaye alikuwa kocha Mkuu wa Vipers ya Uganda na Siku kadhaa zilizopita Alijiuzulu kuifundisha Timu hiyo.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally Ametaja Nafasi za Wachezaji ambao Watawasajili Dirisha hili Dogo la Usajili ,Kombe la Mapinduzi n.k
Hapa utashuhudia Mubashara utani kati ya Mtangazaji Kinara wa Azam Media Ltd Baraka Adson Mpenja ‘Sauti ya Radi’ pamoja na Meneja wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Ally Kamwe walipokutana na kuanza kuzungumza kuhusu ushindi wa Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union. Kwa hayo na mengine mengi tazama video hii…..
Leo tarehe 17 Disemba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kutakuwa na Mbungi ya kukata na Shoka kati ya Yanga Sc dhidi ya Polisi Tanzania majira ya saa 1:00 Usiku ikiwa ni mechi ya kwanza katika Duru la pili kwa timu zote. Tazama hapa mashabiki wakiendelea kungia kwa wingi uwanjani huku wakitema cheche za tambo zaoo. Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea matukio Muhimu ya kabla na baada ya mechi hii kati ya Yanga Sc na Polisi Tanzania kaa karibu na platforms zetu…..
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumzia kuhusu Nafasi za Wachezaji ambao watasajiliwa Simba Sc Kwenye Dirisha Dogo ambalo litafunguliwa hivi Karibuni .
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally amezungumza namna wanavyoendelea kujinoa kwa ajili ya Michezo ya Mzunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC, Amejibu pia Kuhusu Mjadala wa Bus la Timu,Kujiuzulu kwa Ofisa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez.