Mtibwa Sugar SC 1-1 Ihefu SC HIGHLIGHTS 2020-21
Mtibwa Sugar SC 1-1 Ihefu SC HIGHLIGHTS 2020-21

Mchezo wetu wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020-21 ikiwa ni Highlight dhidi ya IHefu SC ulioisha kwa sare ya 1-1 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro tarehe 17 February 2021.



JKT Tanzania 1-1 Polisi Tanzania | Highlights - VPL 18/02/2021
JKT Tanzania 1-1 Polisi Tanzania | Highlights - VPL 18/02/2021

Timu ya JKT Tanzania na Polisi Tanzania zimetoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli yote mawili yamepatikana kwa penati, la JKT likifungwa na Danny Lyanga huku la Polisi likifungwa na Marcel Kaheza. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli | Mtibwa Sugar 1-1 Ihefu SC |  VPL 17/02/2021
Magoli | Mtibwa Sugar 1-1 Ihefu SC | VPL 17/02/2021

Magoli mawili ya kipindi cha kwanza yamehitimisha mechi ya ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Ihefu SC kumalizika kwa sare ya mabao 1-1 kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Goli la Ihefu limefungwa na Issa Ngoah wakati la Mtibwa likifungwa na Kelvin Kongwe Sabato. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



DODOMA DERBY - DODOMA JIJI 2-1 JKT TANZANIA | UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 14/02/2021
DODOMA DERBY - DODOMA JIJI 2-1 JKT TANZANIA | UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL 14/02/2021

Timu ya Dodoma Jiji imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Magoli ya Dodoma yamefungwa na Khamis Mcha na Anuary Jabir huku goli la JKT Tanznaia likifungwa na Edson Katanga. Pia tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli ya Simba Sc VsDodoma Jiji ( 2-1) Mechi ya Jana Katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma
Magoli ya Simba Sc VsDodoma Jiji ( 2-1) Mechi ya Jana Katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma

Mechi iliyochezwa katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma Simba wanachukua point tatu muhimu kutoka Kwa wenyeji wao Dodoma Kwa Ushindi wa Goli 1-2. Chini ya Kocha wao mpya katika ligi kuu Tanzania bara.



SIMBA YASEPA NA POINTI TATU  DODOMA, KITUO KINACHOFUATA AZAM FC
SIMBA YASEPA NA POINTI TATU DODOMA, KITUO KINACHOFUATA AZAM FC

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wamepambana kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Dodoma Jiji, jambo ambalo wanahitaji pongezi. Ikiwa Uwanja wa Jamhuri Simba imeshinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Kiporo na kusepa na pointi tatu. Bao la kwanza kwa Simba lilipachikwa na Meddie Kagere dakika ya 30 likawekwa usawa na Cleophance Mkandala dakika ya 36 ambaye alionyeshwa kadi ya njano kwa kushangilia akiwa ametoa jezi. Bernard Morrison ambaye aliweza kuanza kwenye mchezo wa kwanza wa Gomes ndani ya Simba katika Ligi Kuu Bara alipachika bao ushindi dakika ya 66 kwa pasi ya Perfect Chikwende. Ushindi huo unaifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 38 ikiwa imeachwa kwa pointi 6 na watani zao wa jadi Yanga wenye pointi 44 wakiwa nafasi ya kwanza. Gomes amesema:"Wachezaji wamepambana kutafuta pointi tatu wanahitaji pongezi hesabu zetu ni mchezo wetu ujao wa Ligi Kuu Bara, " HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars



HIGHLIGHTS | Namungo ilivyoitandika Jamhuri (0-2) - Mapinduzi Cup 09/01/2021
HIGHLIGHTS | Namungo ilivyoitandika Jamhuri (0-2) - Mapinduzi Cup 09/01/2021

Tazama mambo yalivyokuwa wakati Namungo FC ikiitupa nje ya Kombe la Mapinduzi Jamhuri kwa kuitandika mabao 0-2. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli yote Namungo ikiishushia kipigo (0-2) Jamhuri - Mapinduzi Cup 09/01/2021
Magoli yote Namungo ikiishushia kipigo (0-2) Jamhuri - Mapinduzi Cup 09/01/2021

Tazama magoli yote Namungo ikishusha mkong'oto kwa Jamhuri kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2021. Jamhuri 0-2 Namungo Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Manuel Neuer  #Shaquille O'Neal  #Football Defensive Skills  #Stephen Curry  #Mesut Ozil  #Best Goals Ever  #Goalkeeper Saves  #Paul George  #Best Goals  #James Harden  

Popular Users

#britneyspears  #ArianFoster  #instagram  #BizNasty2point0  #WWE  #jimmyfallon  #TimTebow  #KimKardashian  #SrBachchan  #TheRealJRSmith  #tigerwoods  #normmacdonald  #J_No24  #serenawilliams