Timu ya Dodoma Jiji imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Magoli ya Dodoma yamefungwa na Khamis Mcha na Anuary Jabir huku goli la JKT Tanznaia likifungwa na Edson Katanga. Pia tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz