Azam FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Goli la Azam limefungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 21 akipokea ‘assist’ ya kichwa kutoka kwa Obrey Chirwa. Hili hapa goli. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Omary Malungu limeipa Mtibwa Sugar ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa ligi kuu ya vijana U20 uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa Kundi D jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na viungo Luis Miquissone kutoka Msumbiji dakika ya 30 na Wazambia Clatous Chama dakika ya 45 na ushei na 84 na Larry Bwalya dakika ya 66, wakati bao pekee la Vita limefungwa na kiungo Mkongo Zemanga Soze dakika ya 32. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika mchezo wa Kundi D jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na viungo Luis Miquissone kutoka Msumbiji dakika ya 30 na Wazambia Clatous Chama dakika ya 45 na ushei na 84 na Larry Bwalya dakika ya 66, wakati bao pekee la Vita limefungwa na kiungo Mkongo Zemanga Soze dakika ya 32. Kwa ushindi huo, Simba SC inayofundishwa na Mfaransa Didier Gomes Da Rosa inafikisha pointi 13 na kuendelea kuongoza kundi hilo, ikifuatiwa na mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri yenye pointi nane. Baada ya sare ya 2-2 na wenyeji, El Merreikh nchini Sudan leo, Ahly inamaliza nafasi ya pili na kuungana na Simba SC kwenda Robo Fainali. HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Tazama jindi Dodoma Jiji na Kagera Sugar zilivyonyukana na kutoka suluhu katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa jamhuri, Dodoma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mtibwa Sugar imeendelea kuwa katika hali ngumu baada ya kukutana na kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Gwambina FC ikiwa nyumbani kwake, Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Magoli ya Gwambina kwenye mchezo huu wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa Machi 7, 2021 yalifungwa na Paul Nonga pamoja na Hamad Nassor. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
DODOMA VS POLISI: Timu ya Dodoma Jiji FC limelazimishwa sare ya mabao 2-2 na Polisi Tanzania katika machezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenue Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Magoli ya Dodoma yamefungwa na Anuary Jabir huku Polisi wakipata mabao yao kupitia kwa Daruesh Saliboko na Marcel Kaheza kwa penati. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Coastal Union wameziacha pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma baada ya leo kupigwa 2-0 na JKT Tanzania ikitoka kuchapwa 2-1 na Dodoma Jiji FC. Magoli yote ya leo yamepatikana kipindi cha pili yakifungwa na Rashid Mandawa na Danny Lyanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz