AHMED ALLY AFICHUA USAJILI MPYA WA OKRAH AUGUSTINE "ANAPIGA MASHUTI HAPA NA BUNJU/MSIMU UJAO WETU"
AHMED ALLY AFICHUA USAJILI MPYA WA OKRAH AUGUSTINE "ANAPIGA MASHUTI HAPA NA BUNJU/MSIMU UJAO WETU"

Leo June 23, 2022 Unapigwa Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Baina ya Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar Ikiwa Ni Mchezo Maalumu Wa Kumuaga Beki Serge Pascal Wawa "Sultan" Huku Ukiwa Ni Mchezo Wa Mwisho Wa Simba Msimu Huu Wa Ligi Kuu Kupigwa Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam Timu Nzima Ya Mpenja TV Imekita Kambi Dimba la Benjamin Mkapa Kukuletea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza Kutoka Hapa #MpenjaTV #SimbaSC #SimbaVsMtibwa #Ligikuu #PascalWawa #MpenjaTv

BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA MAYELE/"CHICO USHINDI WASIMUACHE ANAJUA BOLI/AZIZ KI NDIO BALAA KABISA"
BARAKA MPENJA AMVULIA KOFIA MAYELE/"CHICO USHINDI WASIMUACHE ANAJUA BOLI/AZIZ KI NDIO BALAA KABISA"

Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Baraka Adson Mpenja, Managing Director wa Mpenja Tv na Senior Commentator Azam Media amefunguka mambo mengi ikiwemo mchezo kati Yanga Sc Dhidi ya Coastal Union Mchezo ambao umewapa Yanga Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022. Fungua Video hii kupata Habari Kamili.... #BarakaMpenja #YangaSc #CoastalUnion #YangaScVsCoastalUnion #MpenjaTv

AMBANGILE AMCHAMBUA AZIZ KI "YANGA USAJILI WAO WANAWEZA KUFIKA ROBO FAINALI CAF"
AMBANGILE AMCHAMBUA AZIZ KI "YANGA USAJILI WAO WANAWEZA KUFIKA ROBO FAINALI CAF"

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV George Ambangile ni mchambuzi wa mpira na mtangazaji wa michezo wa WASAFI TV amechambua usajili wa timu ya Yanga na Simba. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV #GeorgeAmbangile #Yanga #usajilisimba

AHMED ALLY: "KOCHA WA DUNIA ANATUA/TUNASHUSHA BEKI ZAIDI YA INONGA/YANGA HAWAFIKI POPOTE"/NANI ZAIDI
AHMED ALLY: "KOCHA WA DUNIA ANATUA/TUNASHUSHA BEKI ZAIDI YA INONGA/YANGA HAWAFIKI POPOTE"/NANI ZAIDI

Mpenja Tv Leo June 10/2022 tumefanya mahojiano na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally kuhusu ujio wa kocha Mpya wa Simba na vipi wanaenda kumaliza ligi kwa mechi zilizobaki, hali ya kikosi kwa sasa kuelekea mechi zilizosalia, Pia kagusia Harakati za usajili kuelekea Msimu ujao na Mashindano ya Kimataifa.... Fungua Video Hii kupata habari zaidi... #AhmedAlly #Simbasc #KochaMpya #MpenjaTv

SAMUEL ETO CHINI YA ULINZI MKALI ATOLEWA UWANJA BENJAMIN MKAPA/MASHABIKI WASHUSHA SHANGWE
SAMUEL ETO CHINI YA ULINZI MKALI ATOLEWA UWANJA BENJAMIN MKAPA/MASHABIKI WASHUSHA SHANGWE

Nyota za Zamani wa Kimataifa wa Cameroon Samuel Eto Amefika Uwanja wa Benjamin Mkapa Kushuhudia Mchezo wa Kufuzu Afcon Baina ya Burundi na Cameroon Mpenja TV Tumeshuhudia kilichojitokeza Wakati Nyota Huyo anatoka Uwanjani #MpenjaTV #SamuelEto #UwanjaWaMkapa #MpenjaTv

🔴#LIVE: MTOTO AVULIWA JEZI YA SIMBA SC ANUNULIWA JEZI MPYA YA YANGA SC "KAKA ALINILAZIMISHA"
🔴#LIVE: MTOTO AVULIWA JEZI YA SIMBA SC ANUNULIWA JEZI MPYA YA YANGA SC "KAKA ALINILAZIMISHA"

CCM Kirumba Mapeeeemaaaa kumekucha,Uwanja umetakata ni Kariakoo Derby Yanga Sc dhidi ya Simba Sc, Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports, Mtanange unapigwa Majira ya Saa Tisa na Nusu Alasiri,Jijini Mwanza. #MpenjaTV #SimbaSC #YangaSC #SimbaSCVsYangaSC #Dabiyakariako

SHOMBO ZA HASSAN BUMBULI: "WATATUAMBIA ZILE SARE WALIPATIA WAPI/ HAWANA UWEZO WA KUFUNGA...."
SHOMBO ZA HASSAN BUMBULI: "WATATUAMBIA ZILE SARE WALIPATIA WAPI/ HAWANA UWEZO WA KUFUNGA...."

Ni Jumatatu tulivu ambayo inawakutanisha Wanajeshi wa Mpakani Biashara United na wanajangwani Yanga Sc kwenye Dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza, kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC Unaochezwa Saa Kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaScvsBiasharaUnited #CcmKirumba

AHMED ALLY: "AZAM/YANGA DHAIFU MBELE YA SIMBA/TUNAWAPELEKEA PUMZI YA MOTO KWAO WAKAZURURE NA IRIZAR
AHMED ALLY: "AZAM/YANGA DHAIFU MBELE YA SIMBA/TUNAWAPELEKEA PUMZI YA MOTO KWAO WAKAZURURE NA IRIZAR

Meneja Habari na Wasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amefunguka Maandalizi ya Kikosi Hicho Huku akitanabaisha Wazi kuwa Azam FC Ni dhaifu Mbele Yao na watazichukua Alama Tatu Ugenini Fungua Video Hi Kushuhudia Mahojiano Maalumu na Ahmed Ally Ambaye Amefunguka Mengi Kuelekea Mchezo wa Mzizima Dabi Kati Ya Azam FC na Simba SC #MpenjaTV #SimbaSC #AhmedAlly #SemajiLaCAF #SemajilaSimba

« Previous Next »

Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Gareth Bale  #Russell Westbrook  #Best Goals Ever  #Thomas Muller  #Kawhi Leonard  #Chris Paul  #Best Football Defending Skills  #David Silva  #Shot Goals  

Popular Users

#alexmorgan13  #ladygaga  #CP3  #LarryFitzgerald  #iamsrk  #narendramodi  #justinbieber  #obj  #hunterpence  #BellaTwins  #MariaSharapova  #CNN  #DanicaPatrick  #NASA  #SportsCenter