Ni Jumapili iliyopambwa kwa Nakshi za Zabibu na Wananchi wenye Jangwani yao,Ambapo itapigwa Mbungi kali ya ligi kuu ya NBC kati ya Dodoma Jiji Fc dhidi ya Yanga Sc, kwenye Dimba la Jamhuri lililobarikiwa kuwepo kwenye Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania ,Jijini Dodoma, Ni Saa kumi Jioni. #MpenjaTv #YangaSc #DodomaJijiFc #DaudiYanga
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally Amesema Maandalizi ya Kuwakabili Pamba FC Yamekamilika na Watavuta Pumzi ya Moto Kwani Wanahitaji kutinga Nusu Fainali ili wakawapasue Yanga na Kuchukua Kombe Hilo Fungua Video Hi Kutazama Mahojiano haya na Ahmed Ally Ambaye Ametamba Kuwapiga Pamba Huku Akipiga Dongo kwa watani wake Yanga kuwa Ni Timu Ndogo #MpenjaTV #SimbaSC #PambaFC #AhmedAlly #SimbaVSPamba #ASFC #Robofainali
Ewaaa๐ฅ๐ฅ, Siku ya PTK na Pumzi ya Moto imewadia, Leo Mei 8 2022 Mpenja Tv tupo uwanja Wa Benjamin Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kabla na Baada ya mchezo Wa Simba Sc dhidi ya Ruvu Shooting. . Asante Kwa kutuchagua, Endelea kuburidika na Mpenja Tv. . #simbasc #ruvushootingfc #nbcpremeierleague #mpenjatv
Msemaji wa Simba Sc, Ahmed Ally Amezungumza Namna Kikosi kilivyojiandaa Kumenyana na Ruvu Shooting kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Jumapili ya Tarehe 8/5/2022,Uwanja wa Benjamin Mkapa, Saa Moja Usiku. #SimbaSc #RuvuShooting #MpenjaTv
Leo April 23 2022 Mpenja Tv tupo Uwanja wa Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Kati ya Yanga na Namungo Fc ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa moja kamili usiku. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii . . #yangasc #namungofc #mpenjatv
Leo April 23 2022 Mpenja Tv tupo Uwanja wa Mkapa kukuletea matukio yote yanayoendelea kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC Kati ya Yanga na Namungo Fc ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa moja kamili usiku. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii . . #yangasc #namungofc #mpenjatv
Leo April 17, Unapigwa Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaopigwa Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mpenja TV Tumeshafika Dimba la Benjamin Mkapa Kukusogezea Kila Nukta ya Jambo Linalochomoza Kutoka Hapa #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #BarakaMpenja
Kuelekea Mchezo Wa Mkondo Wa Kwanza Wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Baina Baina ya Simba SC Dhidi ya Orlando Pirates Ya Afrika Kusini Mchezo Unaotaraji Kupigwa Jumapili hi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Majira ya Saa 19:00 Usiku Mtangazaji Wa Soka Kutoka Azam TV Gharibu Mzinga Ameainisha Udhaifu Wa Orlando Pirates na Kutoa Utabiri Wake Kuelekea Mchezo Huu Mpenja TV Tumefanya Nae Mazungumzo Maalumu kabisa Amefunguka Mengi Sana #MpenjaTV #SimbaSC #OrlandoPirates #SimbavsOrlando #CAFCC #Robofainali #GharibuMzinga #BarakaMpenja