Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Sc Ahmed Ally leo amezungumza na Mpenja TV mara baada ya kumtambulisha mchezaji wao mpya Habib Kyombo. Aidha amezungumzia na sajili nyingine ambazo zitafuata siku zijazo. fungua video hii kuangalia mpaka mwisho
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Leo Julai 2 2020 Nchi itasimama kwa dakika 90 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha Katika Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga Vs Coastal Union. Mpenjatv tupo Arusha kukuletea matukio yote yanayoendelea nje ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla na baada ya Bingwa kupatikana. Utapata Tambo/nderemo za Mashabiki pamoja na maoni ya Wachezaji wa Timu zote pamoja na Viongozi wa pande zotembili na Uchambuzi ulioenda shule. Hakikisha unaikumbatia Mpenjatv tumekuandalia mambo mazuri katika Mchezo huo wa Fainali. #FainaliAsfc #YangaSc #CoastalUnion
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV KIGELEGELE AMUONA AZIZI KI ARUSHA/SIKIA SHOMBO ZAKE Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Baada ya Kikosi Cha Simba Kumtangaza Kocha Mpya Zoran Manojlovic "Zoran Maki" Mchambuzi na Mtangazaji wa Soka la Afrika Kutoka Azam TV Gharibu Mzinga Amechambua Mbinu zake na Kuteleza Ni Kocha wa Namna gani Mpenja TV Tumezungumza na Mzinga Huku akimpigia chapuo Kocha Huyo Kufanya Makubwa na Simba #MpenjaTV #KochampyaSimba #Kochawamakombe #SimbaSC #UsajiliSimba
Telegram: https://t.me/KidanistarsTV Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV
Mbeya kumenoga!! Sokoine Mambo Swaaaafiiii!! Ni Mtanange wa kukata na Shoka wa ligi kuu ya NBC kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga Sc Ulioambatana na Sherehe ya Kukabidhiwa Kombe kwa Bingwa wa Ligi kuu ya NBC Yanga Sc Msimu wa 2021/2022. #MpenjaTv #Yangasc #MbeyaCity #Nbc #Mabingwa