LIVE:  SIMBA 0-0 PLATEAU; UCHAMBUZI BAADA YA MECHI  - CAF CL  5/12/2020
LIVE: SIMBA 0-0 PLATEAU; UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - CAF CL 5/12/2020

Ni uchambuzi kuelekea mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Plateau United ya Nigeria. Game inapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Saaam na kukufikia LIVE #AzamSports1HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba: Mashabiki
Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba: Mashabiki

“Uwanja wa Mkapa ndiyo machinjio ya Simba” - Mashabiki wa Simba mkoani Iringa wakijinadi ‘kuichinja’ Plateau United huku wakitamba kufika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Mashabiki Simba ‘watangaza vita’ na Plateau United
Mashabiki Simba ‘watangaza vita’ na Plateau United

“Kiukweli wale jamaa wameyakanyaga…” - Mashabiki wa Simba kutoka jijini Dar es Salaam wameipongeza timu yao, huku wakitamba kwamba Plateau United watakiona cha moto uwanja wa Benjamin Mkapa. #AzamSports1HD , #AzamSports2HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE - MBEYA CITY VS POLISI, MTIBWA VS COASTAL, UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 05/11/2020
LIVE - MBEYA CITY VS POLISI, MTIBWA VS COASTAL, UCHAMBUZI KABLA YA MECHI - VPL 05/11/2020

Leo zinachezwa mechi tatu za VPL, lakini tunaanza na mbili, ambazo ni Mbeya City vs Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar vs Coastal Union saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD na #AzamSports2HD Baadaye saa 1:00 usiku ni Azam vs Dodoma Jiji. Fuatilia uchambuzi kuelekea mechi hizo. ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Highlights | Yanga ilivyovunja mwiko na kuibanjua Biashara United (0-1) - VPL 31/10/2020
Highlights | Yanga ilivyovunja mwiko na kuibanjua Biashara United (0-1) - VPL 31/10/2020

Tangu Biashara United ipande Ligi Kuu, Yanga haikuwahi kufanikiwa kuondoka na ushindi katika dimba la Karume mjini Musoma. Kichwa cha Michael Sarpong kimevunja mwiko huo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Kipigo cha Mtibwa chaipa funzo Namungo FC
Kipigo cha Mtibwa chaipa funzo Namungo FC

“Mechi ya nje haifanani na ya nyumbani,” - Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hitimana Thierry, akieleza namna timu yake inavyoendelea kujengeka na kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mtibwa Sugar. #AzamSports1HD #AzamSports2HD #SimbaSC #LigiKuuTanzaniaBara Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



LIVE: BUILD UP KUEKELEA MECHI YA TANZANIA VS BURUNDI - 11/10/2020
LIVE: BUILD UP KUEKELEA MECHI YA TANZANIA VS BURUNDI - 11/10/2020

TANZANIA VS BURUNDI: INTERNATIONAL FRIENDLY - Fuatilia uchambuzi kuelekea mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Burundi (Intamba Murugamba), unaochezwa Uwanja wa benjamini Mkapa, Dar es salaam, LIVE #AzamSports1HD Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous


Popular Tags

#Counter Attack Goals Football  #Best Goals Ever  #Lionel Messi  #Michael Jordan  #Best Football Defending Skills  #Kawhi Leonard  #Shot Goals  #Ronaldinho  #Football Defensive Skills  #Mesut Ozil  

Popular Users

#Drake  #THNRyanKennedy  #jadande  #BMcCarthy32  #MariaSharapova  #BillGates  #TheNotoriousMMA  #Buster_ESPN  #britneyspears  #hunterpence  #OleksiakPenny  #IAmJericho  #mcuban  #KDTrey5  #Kaepernick7