Content removal request!


SIMBA Vs #FC PLATINUM: Mashabiki Yanga ‘kuwapiga jeki’ Simba

“Mimi ‘siwasapoti’ Simba…kwa hiyo tutakuja kama watani wa jadi kuwasapoti #Simba…” Mashabiki wa #Yanga mkoani Mwanza kuelekea mechi ya marudiano ya raundi ya kwanza ya Ligi ya mabingwa Afrika kati ya Simba Vs #FCPlatinum itakayochezwa Janaury 06, 2021, katika dimba la Benjamin Mkapa na kuruka Live kupitia #AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha 20000 kwa mwezi unatazama pambano hili. #CAFCL #SimbaSC #FCPlatinum Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz